Huyu ndo Mrs Peter Okoye wa P Squire



Baada ya Kumaliza shughuli za ndoa yao ya kimila msanii Peter Okeye wa kundi la Psquire ameiweka picha hii katika mtandao wake wa Instagram na kuwauliza wapenzi wake je ni Mzuri na Anavutia?!!sana au lah na akapata likes na comments kibao kutoka kwa mashabiki hao.

Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger