Msichana Huyu analazimisha Aolewe
Habari Kutoka Jamii Forums:-
Hi....JF,kuna msichana ambaye nimefahamiana nae zaidi ya mwaka sasa,cha ajabu amekuwa akinitamkia anataka nimuoe,nimejarb kumueleza kuwa na mp3nz! wangu lakini hanielewi amediriki kumwambia mama yangu,lakn alichijibiwa na mama kuwa maamuzi ni yangu na wala yeye hana nafasi katika moyo wangu,nashindwa nifanye nn ili aniache kwani nahsi atanivurugia uhusia nilionao kwa sasa