"Wanaume wana asili ya kupenda Mwanamke zaidi ya Mmoja" Akon



Hivyo ndivyo Akon alivyoieleza TMZ. Soma maneno yake hapo chini;

"Wanawake hawajaumbwa kuwa na wanaume wengi kwa wakati mmoja... ila wanaume wameumbwa hivyo. Kama wanaume, ndivyo ambavyo tumeumbwa kwa asili yetu na wanawake wanahitaji kuchukua muda zaidi ili kufahamu vile wanaume walivyoumbwa. Hatuweza kuikimbia hali hii hata kama tunataka iwe hivyo."

Hmmmm, Unasemaje juu ya hii kauli yake ......?

Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger