"Wasambuaji" Mnaboa!


Siku za hivi karibuni yameibuka makundi tofauti tofauti ya wakina dada hasa hapa jijini Dar, ambao wao kazi yao ni kuja kunengua na kukata mauno katika sherehe mbali mbali mathali Kitchen Party. Kutokana na ushindani na mazingira ya kazi zao siku hizi hata katika Birthday Party utawaona, na pia watataka kufanya manjonjo yao japo kidogo ili mjue wapo. Tatizo linalowaboa watu wengi ni pale kunengua huko kunapo pitiliza kufikia hatua ya kukaa uchi na mbaya zaidi mbele ya watoto! huku ni kujidhalilisha na kuwadhalilisha wanawake na mama zetu waliokuwepo eneo la tukio!

Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger