Angalia Alichokiandika Selly katika Ukurasa wa Twitter Baada ya Nando Kutimuliwa BBA The Chase.
--> Mshiriki kutoka Ghana aliyewahi kukashifiwa ya kwamba amemwambukiza magonjwa ya zinaa mshiriki wa Tanzania, Selly ameandika Kauli ya Kufurahia kutolewa kwa Nando katika Jumba hilo la BBA.
Angalia Mwenyewe:-
Angalia Mwenyewe:-
My God has fought my battle! All the stigmatization..hmm!! Fanx 2 all my friends and fans! Fanks to Africa!!