Picha: Angalia Askari wa Fiji Akitoa Heshima kwa Queen wa England
Hapa akikaa chini kabisa na kuvua kofia kama ishara ya heshima
Hapa akiinamisha kichwa chini baada ya kuamka |
Wengi wamempongeza Askari huyo kwa kitendo chake hicho cha kishujaa na kuonesha Heshima ya Hali ya Juu, ingawa baadhi ya watu wamemponda kwa kumwambia amejidhalilisha, wewe unaonaje?