AKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKUU WA MSAFARA NA MWAKILISHI WA SULTAN WA OMAN,KUWAIT.



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mwakilishi wa Sultan wa Oman, ambaye pia ni Mkuu wa Msafara wa Oman, Said Asaad Bin Tariq Al Said,  wakati walipokutana faragha jana Nov 19, 2013,  nchini Kuwait katika mkutano wa tatu wa Afro-Arab, unaomalizika leo nchini Kuwait.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Mwakilishi wa Sultan wa Oman, ambaye pia ni Mkuu wa Msafara wa Oman, Said Asaad Bin Tariq Al Said,  baada ya mazungumzo ya faragha walipokutana jana Nov 19, 2013, katika mkutano wa tatu wa Afro-Arab, unaomalizika leo nchini Kuwait.
Picha na OMR

Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger