MCHEZAJI NYOTA WA SOKA NCHINI GHANA ANASWA KITANDANI NA MWANAMKE
Pichani ni mwanasoka kutoka nchini Ghana, Samuel Inkoom akiwa kajiachia kimahab* na mkewe Omega, tofauti na mastaa wengi wanavyokuwa wakitokea katika picha hizi na wanawake wengine.
Omega alikuwa akishutumiwa kwa kuupeleka mbio uhusiano na mumewe huyo baada ya kufungua akaunti feki ya Instagram na kisha kuwapa maneno makali wanawake wengine ambao anahisi wanatembea na mumewe huyo.
Haya Abiria Chunga Mzigo wako, Mpaka leo wawili hao bado wapo pamoja, Big Up kwa Wao.