Steve Nyerere Apata Ajali kisha atupwa Rumande

-->
Nyota wa filamu za Kibongo nchini, Steve Mengele, maarufu kama Steve Nyere amekutwa na mkasa wa aina yake pale alipopata ajali jumatatu ya wiki iliyopita maeneo ya kijitonyama ambapo Steve akiwa ndani ya gari yake aina ya Toyota Verosa aliligonga gari lililokuwa limesimama ghafla mbele yake aina ya Toyota Fun Cargo na kulisababisha litumbikie mtaroni. Baada ya tukio kulitokea majibizano baina ya madereva hao ambapo walipofika askari kutuliza ghasia inasemekana kulitokea kupishana kauli kati ya askari na nyota huyo ndipo alipopigwa "Tanganyika jeki" na kupelekwa kituoni,

Read More »

Sista Aliyefumaniwa Atozwa Faini ya Laki Saba

MAHAKAMA ya Mwanzo mjini hapa, imemtia hatiani aliyekuwa mtawa wa Shirika la Kitawa la Kanisa Katoliki Jimbo la Sumbawanga, Sista Yasinta Sindani, kwa kufumaniwa na mume wa mtu na kuamriwa kumlipa fidia ya Sh 700,000 mlalamikaji.
Katika kesi ya msingi ya madai, mlalamikaji Asteria Mgabo alimtaka Sista Yasinta amlipe Sh milioni 3 baada ya kumfumania na mumewe wa ndoa, Martin Msangawale (39) ambaye pia ni mkazi wa mjini hapa.
-->
Sista huyo ambaye ni daktari katika Hospitali ya Mkoa wa Rukwa mjini hapa, kwa sasa anaishi nje ya nyumba ya utawa eneo la Kantalamba.
Katika hati ya awali ya madai, inadaiwa mshitakiwa alifumaniwa na Asteria akiwa na mumewe Msangawale wakiwa kwenye nyumba ya kulala wageni ijulikanayo kwa jina la Chipa iliyopo eneo la Katandala mjini hapa, Desemba 24 mwaka jana majira ya saa 7 usiku ikiwa ni siku ya mkesha wa Sikukuu ya Krismas.
Akisoma hukumu hiyo juzi, hakimu wa mahakama hiyo, Jaffar Mkinga alisema kuwa ushahidi uliotolewa na mlalamikaji ulikuwa mzito wenye kuondoa shaka zote kuwa mdaiwa alitenda kosa hilo tofauti na utetezi uliotolewa na mdai kuwa ulikuwa dhaifu.
Awali katika utetezi wake mdaiwa aliiambia mahakama hiyo kuwa kwanza alikuwa hajui kuwa Martin alikuwa mume wa mtu na kukiri mbele ya mahakama hiyo kuwa alimweleza kuwa hana mke hivyo alimwomba amuoe.
Lakini Hakimu Mkinga alipinga utetezi huo kwa sababu usiku huo wa mkesha wa Krismas mwaka jana, saa saba na robo usiku, mlalamikaji akiongozana na mwenyekiti wa mtaa wakiwa na mashahidi wengine watatu, walimkuta mdaiwa na Martin wakitoka katika moja ya vyumba katika nyumba ya kulala wageni ya Chipa, akasainishwa.

“Kama hukufahamu kuwa Martin alikuwa hana mke ilikuwaje ukakubali kusaini karatasi hiyo ya fumanizi iliyoandaliwa na mwenyekiti huyo?” alihoji hakimu, akamhukumu kulipa sh 700,000.


source: mpekuz

Read More »

Mama aliyemtesa mtoto ahukumiwa

HATIMAYE haki imetendeka, hayo ni maneno waliyoyasema baadhi ya wakazi wa Mbeya waliohudhuria katika Mahakama ya Wilaya na kushuhudia Wilvina Mkandara (24) akihukumiwa kifungo cha maisha jela kutokana na kesi iliyokuwa inamkabili ya kumtesa hadi kumsababishia ulemavu mtoto, Aneth Johannes (4) aliyekuwa akimlea.


--> Mara baada ya hukumu hiyo kutolewa Jumatatu iliyopita na hakimu mkazi aliyekuwa akisikiliza kesi hiyo, Gilbert Ndeuruo, wananchi walionekana kufurahi na wengi wakitaka japo kumgusa mfungwa huyo mpya lakini ulinzi wa polisi ulikuwa imara.
“Huyu mama angenyongwa tu,” alisikika akisema mama mmoja aliyeonesha kuwa na hasira na mfungwa huyo aliyekuwa amezungukwa na askari polisi.

Akisoma hukumu hiyo iliyozusha cherekochereko kutoka kwa baadhi ya wakazi hao wa Mbeya mahakamani hapo, Hakimu Ndeuruo alisema mshitakiwa amehukumiwa kutokana na kifungu cha 235 cha mwenendo wa makosa ya jinai cha mwaka 1985.

Akaongeza kuwa mahakama hiyo imeona mshtakiwa anastahili adhabu kutokana na mtuhumiwa huyo kama mzazi kushindwa kujali afya ya mtoto wakati alikuwa mama mlezi ikiwa ni pamoja na kumpeleka hospitali kwa wakati ili apatiwe matibabu.

Hakimu Ndeuruo amesema mahakama hiyo haikuridhishwa na ushahidi wa utetezi wa mtuhumiwa alioutoa mahakamani kuwa majeraha yaliyokutwa mwilini mwa mtoto Aneth yalitokana na kuugua tetekuwanga, jambo ambalo alisema si la kweli.

Aidha, mshtakiwa Wilvina alipotakiwa kujitetea ili apunguziwe adhabu kabla ya kusomewa hukumu alisema: “Naiomba mahakama inipunguzie adhabu kwa kuwa mimi ni mjamzito pia sijui mwanangu niliyemzaa alipo kwani sina mawasiliano na familia yangu.”

Akitoa hukumu hiyo Hakimu Ndauruo alisema amesikitishwa na kitendo cha mtuhumiwa huyo kutotaka kujua alipo mtoto aliyemkosea na badala yake kumjali wake. Mwanamke huyo alipandishwa kizimbani kwa mara ya kwanza Novemba 16, mwaka jana.

Read More »

2013 Ya " Shilole"!!!


--> Mwanadada asiyeishiwa na vituko, zainab Mohamed, Shilole, ameng'aa katika mitandao mbali mbali ya kijamii na muonekano wake mpya ambao yeye binafsi ameuita ndo wa mwaka 2013, vp jmani mnauonaje?

Read More »

Aibu Mke wa Mtu

-->

Pia katika gazeti la amani.

Read More »

UDAKU Katika Magazeti

Hii ipo katika gazate la Amani la Leo
-->


Read More »

VIDEO ya "KIMAPENZI" Alingo ya P Squire yapigwa Marufuku

Video ya nyimbo mpya ya Vijana wa kundi la P squire, "ALINGO"  imepigwa marufuku nchini Nigeria na NBC Kutokana na kile kilichosemwa inahamasisha ngono nma wanawake wa humo ndani wamekaa kihasa hasara mno. Iangalie Video hiyo hapo chini. -->
Read More »

Tumbo la Shakira lazidi kujaa

Msanii na balozi wa UNICEF, Mrembo shakira ambaye kwa sasa ana Ujauzito wa mchezaji wa Barca, Pique, Amedakwa akiliachia tumbo lake ambapo soon anatarajiwa kujifungua.

Read More »

Picha ya Justin Bieber akionesha Tako Yavuja.

Mwanamuzi kijana mwenye utajiri wa kutosha, raia kutoka nchini Canada ameanza kukumbwa na scandals za aina yake baada ya kuvuja kwa picha yake hii katika mitindao mbali mbali. jionee mwenyewe.

Read More »

Nyoka atoka Sehemu za Siri za Mwanamke Baada ya" Kufanyiwa Maombi"

-->
Hawa wachawi na teknolojia yao ya giza katika karne hii ya sayansi na teknolojia wanazidi kutuonesha maajabu yao. Baada ya mwanamke mmoja kusumbuliwa na maumivu ya tumbo kwa muda mrefu ndipo alipoaamua kwenda kwa mchungaji mmoja kufanyiwa maombi huenda Mungu akasikia kilio chake, kioja kilitokea hapo ambapo mwanamke huyo alipohisi kuna kitu kina mtoka sehemu za siri na ndipo nyoa huyo mwenye urefu wa nchi 20 alipotoka katika ikulu zake.Baada ya tukio hilo mwanadad huyo alisema kuwa alikuwa na tabia ya kulalal na wanaume tofauti tofauti ambapo kila mwanaume atayekubali kulala nae hupata ugonjwa wa ajabu ambao hautibiki hospitali, kifupi alikuwa akiwachezea.

Read More »

Unenguaji wa Beverly Hautuogopeshi - Girls la Musica

Beverly Sibanda
Girls la Musica
Makundi mawili mahisimu ya wanenguaji nchini Zimbabwe, hapa namzungumzia Berverly Sibanda na kundi lake la " Dancing Angels" na mahasimu wao Girls la musica, wamefunguka juu ya upinzani uliopo baina yao. Katika mahojiano yao kundi la Girls la Musica limesema kwamba hawatishiwi na Bev na kundi lake zaidi zaidi wanawaona kama watu wasiokuwa na maadili.

Read More »

Angalia "Fumanizi" Kimada afumwa na Mwenye Mume

-->
Mwanamke mmoja nchini South Africa ameuanza Mwaka 2013 vibaya baada ya kupokea kichapo cha haja na kuvuliwa nguo hadharani. Tukio hilo limetokea usiku wa mkesha wa mwaka mpya ambapo mke alimwambia mumewe kuwa anakwenda kanisani kwa ajili ya mkesha huo na ndipo njemba hiyo ikautumia mwanya huo kumualika nyumbani kimada wake, baada ya kula raha zao walipitiwa na usingizi na ndipo mke wa halali aliporudi nyumbani na kumjazia watu mumewe huku akimkwida kimada huyo na kumsaula nguo!

Read More »

"Naskiliza Hii, Kisha Naenda Kufanya Mapenzi na Mume Wangu" Beyonce

-->

Msanii mwenye mvuto wa kipekee wa kimapenzi mwanadada Beyonce, ameng'aa katika jarida la GQ Huku akijishaua na kuseme " Kwa sasa nasikiliza wimbo wa make love to me, kisha naenda ku make love na mume wangu" Kwa mujibu wa jarida la GQ Beyonce ndio mwanamke mwenye mvuto wa kimapenzi zaidi kwa mwaka 2012.

Read More »

Picha za utupu kama Ushahidi zapatikana



Hii ni katika kesi inayomkabili mwanada Jodi Arias ambaye mnamo mwaka 2008 alimua Mpenzi wake wa muda Mrefu Travis Alexander huku akijitetea kwamba ni Self Defense. Picha hizo zimekutwa katika kamera ya Marehemu huyo, ambaye mtuhumiwa awali alidai kuwa walikuwa ni marafik tu.

Read More »

VIDEO -"Ukahaba" Haiti NDIO Kiinua mgongo

Huku Tanzania tunajivunia kwamba Kilimo ndio Uti wa Mgongo wetu, lakini sehemu nyingine Duniani, Ukahaba na Kujiuza ndio shughuli ya kujiingizia kipato inayotegemewa na sehemu kubwa ya wanajamii. Angalia Video hiyo.
Read More »

VIDEO - Ukahaba unaofanywa na wanafunzi wa Vyuoni huko Ashaiman Ghana

-->
Read More »

Cossy apiga Picha za Utupu

-->

Kutokana na kisanga hicho, Muigizaji kutoka nchini Nigeria, Mwanadada Cossy O. Amewaomba radhi mashabiki wake na jamii nzima kwa ujumla kutokana na kuzagaa kwa picha zake za kimitego mtandaoni. Kupitia akaunti yake ya twitter amesema kwamba hakutarajia kama mambo yangekuwa hivyo. -->

Read More »

Baby Madaha Akanusha kuwa na Uhusiano wa Kimapenzi na Slim

-->
--> Msanii Baby Joseph Maarufu kama Baby Madaha amekanusha habari zinazozagaa mtaani kwamba ana uhusiano wa kimapenzi na Slim. Baby aliongeza kuwa yeye na Slim ni mtu na Shemeji yake na kwamba wamekuwa karibu siku za hivi karibuni kutokana na kumshirikisha Slim katika Video yake Mpya. Kwake yeye ni Bora Maisha ya U single kuliko kujihusisha katika Mapenzi Tena.

Read More »

Demi Moore, Mama wa Miaka 50 ndani ya Bikini.

-->
Demi Moore mwana mama miaka 50, Muigizaji huyo wa Holly wood wiki iliyopita aliamua kwenda Mexico kupumzika, ambapo alishuhudiwa ufukweni na kamera za wadaku akiwa ndani ya Bikini huku mwili mzima akijiweka michanga, kitendo ambacho kimezoeleka kinafanywa na mabinti wa miaka 20 hivi hadi 25.

Read More »

Kim Kujifungua Mwezi wa Saba

Mpenzi wa Kanye West, Kim Kardashian anatarajia kujifungua mwezi wa Saba mwaka Huu. Kupitia Mahojiano na kipindi kimoja cha Televisheni nchini Marekani Kim akiwa dada yake Kourtney amesema kuwa anafurahi tarehe yake ya kujifungua kuangukia mwezi huo kwani ni sawa na mwezi ambao Kourtney alijifungua, mbali na haya ni mwezi ambao ambao Prince William na Mkewe wanatarajia kupata mtoto. "Vitu hivi huwa havipangwi, ni Bahati tu, Na kuhusu ndoa sipendi kulizungumzi kwa sasa kwani tumeweka nguvu zetu katika ujauzito tu" Ameeleza.

Read More »

Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger