Showing posts with label Udaku wa Africa. Show all posts

ANGALIA PICHA 5 ZA WANAFUNZI WA HOSTELI WAKIJIACHIA BAADA YA KUWA MBALI NA WAZAZI WAO



Wazazi, ni vyema kwenu kujijengea mazoea na utaratibu wa kuwa karibu na watoto wenu hasa linapokuja suala la mahusiano yao na marafiki.

Inawezekana kabisa kuharibikwa kwa mwanao kukatokana na aina ya watu anaokuwa nao karibu, kitu ambacho naamini kama mzazi usingependa kitokee kwa mwanao.
 
Utajisikiaje ukikuta aina hii ya picha ya ndugu yako....?



Read More »

MBUZI AZAA MTOTO MWENYE SURA YA BINADAMU HUKO KENYA


Wakazi wa eneo la Likoni, Mombasa nchini Kenya walipatwa na mshangao mkubwa mara baada ya mbuzi mmoja kujifungua mtoto mwenye sura inayofanana na binadamu.

Tukio hilo lilifanya shughuli mbalimbali kwenye kijiji hicho kusimama huku wakazi wa eneo hilo wakiwa wanastaajabu juu ya tukio hilo la ajabu.


Read More »

ANGALIA KIDUME HUYU ALIVYOJICHUBUA NA KUWA KAMA KA BINTI


Kuna point fulani kama mwanaume inabidi usiivuke hata ikiwa unapenda umaridadi kiasi gani, kidume hapo juu ameavua kwenda mbali zaidi kuhusiana na mambo ya kujiremba na kuamua kujibleach mwili wake kiasi cha kufikia hivyo. Una litatzamaje hili?!!

Read More »

HAWA NDIO WANAWAKE WA PETER NA PAUL OKOYE, WAMEPENDEZAJE?!!


Hapo juu ni Lola Omotayo ambay ni mke wa Peter Okoye wa P Square na Anita Isama, Mchumba wa Paol Okoye, wanawake warembo na wanavutia, vipi mtazamo wako unawaonaje? Angalia picha nyingine hapa chini:-




Read More »

MASHABIKI WAMDISS MSANII HUYU KWA KUONGEZA UKUBWA WA MAKALIO NA MAT1TI



Mwanadada Daniella Okeke amekuwa akishutumiwa sana na baadhi ya mashabiki wake kutokana na mabadiliko ya ghafla ya sehemu ya Mgongo wake, msanii huyo ambaye amepata INYE kubwa ya ghafla na Chakula cha mtoto kuongezeka maradufu inasemekana ametumia mambo ya mchina ili kujiboost sehemu zake hizo.

Muangilie katika picha ya chini jinsi alivyokuwa awali na picha ya juu ndio jinsi alivyo sasa. Unamuonaje?



Read More »

PICHA YA LEO, NANI KATOKELEZEA ZAIDI


Wasanii hao nyota kutoka pande za Africa Magharibi wote wakiwa ndani ya magauni ya njano yenye kufanana kutoka kushoto ni  Genevieve Nnaji, Tolu “Toolz” Oniru na mwimbaji, Tiwa Savage

Read More »

JIMAMA LAFANYA BIASHARA YA UKAHABA MCHANA KWEUPEE, SIGARA MDOMONI, POMBE MKONONI NA KIVAZI CHA UTUPU.



Mtu mzima huyo anakata mitaa akiwa na Fegi mdomoni na Kiroba mkononi
Wadau katika pitapita mitaani nilikutana na mama mtu mzima akifanya uchangudoa mitaani mchana kweupee bila hata ya kuwa na aibu!




 
 Kikielekea dukani kuongeza kiroba na sigara







Baada ya kuambiwa lile ni duka la vifaa akaamua kununua kwenye kioksi na hapa anaomba moto





Alipoona watu wanamjalia akaamua ajikate huku akitingisha vikalio vyake!

Read More »

SHABIKI WA MAN U KENYA AJIUA BAADA YA KIPIGO CHA NEWCASTLE




Jamaa mmoja anayeaminika kuwa ni shabiki wa timu ya Manchester United mnamo siku ya Jumamosi usiku kwenye Jimbo la Pipeline jijini Nairobi, hii ni mara baada ya timu yake kufungwa goli 1-0 na Newcastle.

Polisi wamesema John Jimmy Macharia, mwenye miaka 23, alijirusha toka kwenye gorofa ya saba mara baada ya timu yake kupoteza mchezo mwengine kwenye mechi iliyochezwa Jumamosi jioni.

Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi wa Nairobi Benson Kibue, Macharia aliwaambia rafiki zake kuwa hawezi kuona timu yake ikifungwa mfululizo kabla ya kuamua kujirusha na kufa papo hapo.

“Wote walioshuhudia wanasema sababu ya jamaa kujiua ni kutokana na timu yake kufungwa ila maafisa wanaendelea kuongea na watu waliyekuwa nae kama sehemu ya uchunguzi wa tukio hilo,” alisema.

Kibue aliwashauri vijana wa jiji hilo kutambua kwamba Ligi Kuu ya Uingereza ni kama aina nyingine ya michezo hivyo wanapaswa wasiwe wanaguswa sana kihisia na michuano hiyo.

“Sio mara ya kwanza kumpoteza kijana sababu ya Ligi ya Uingereza, ambayo ipo mbali na sisi, wanahitaji kujua kwamba hii ni michezo tu,” alisema Kibue.

Mwili wa marehemu ulitolewa na kupelekwa mochwari na polisi waliofika pale. Macharia inasemekana aliangukia kichwa pindi alipojirusha toka kwenye gorofa hilo.


Read More »

BAADA YA MBURUNDI KUSHINDA TUSKER PROJECT FAME SHANGWE ZA KWAO ZIMEKUWA HIVI


Pengine hii itakuwa ni mara ya kwanza na historia kwa nchi hiyo kutoa mshindi katika mashindano makubwa kama haya, huko pande za kwao kumekuwa na furaha na shangwe zisizo na kifani kutoka kwa raia wa nchi hiyo.

Mshiriki Hope toka Burundi amejikuta akianguka chini kwa mshituko wa furaha ulimkuta baada ya kuibuka kidedea kwa kutangazwa mshindi wa Tusker Project Fame na kujinyakulia kitita cha Shilingi 5,000,000/= za Kenya .

Mashindano hayo yaliyomalizika hivi punde usiku wa jana yamemwacha Hope katika taharuki huku akiwabwaga wenziye; Hisia (Tanzania), Patrick (Rwanda),Wambura (Kenya), Daisy (Uganda),Amos & Josh wa Kenya


Read More »

MWANGALIE MODEL HUYU AKIWA NDANI YA BIK1NI NA KAPTURA WAPI KAPENDEZA ZAIDI



Kwa jina anafahamika kama Risper Faith ambaye kwa kipindi kirefu amekuwa akipiga picha zake za Ki Model akiwa amevaa nguo zote, sasa ameanza kufuata nyayo za dada yake na kuanza kutuvalia vibikn bila kujali umbo lake kubwa alilobarikiwa na Mola.

Kazi imewapata wengi kwa ku koment na kushauri kuhusiana na step mpya ya mrembo huyo, je sawa kwake au aendelee ku modelika huku akiwa na nguo tu?!!!



Read More »

VIDEO: MSICHANA APAGAWA NA KUCHEZA AKIWA MTUPU, AMWAGA RADHI HASWAA!!




Huyo ni Binti kutoka pande za Igbo, Nigeria ambaye inasemekana alilewa tilalila na kuanza kucheza nyimbo hiyo ya Wizkid kihasara hasara sana, mcheki hapa.

<<<<BONYEZA HAPA>>>>> Kuipata Video

Read More »

MCHEZAJI NYOTA WA SOKA NCHINI GHANA ANASWA KITANDANI NA MWANAMKE


Pichani ni mwanasoka kutoka nchini Ghana, Samuel Inkoom akiwa kajiachia kimahab* na mkewe Omega, tofauti na mastaa wengi wanavyokuwa wakitokea katika picha hizi na wanawake wengine.

Omega alikuwa akishutumiwa kwa kuupeleka mbio uhusiano na mumewe huyo baada ya kufungua akaunti feki ya Instagram na kisha kuwapa maneno makali wanawake wengine ambao anahisi wanatembea na mumewe huyo.

Haya Abiria Chunga Mzigo wako, Mpaka leo wawili hao bado wapo pamoja, Big Up kwa Wao.

Read More »

VIDEO YA NG0N0 YAMPONZA BI HARUSI MTARAJIWA SIKU 3 KABLA YA NDOA YAKE.




Kwa jina anaitwa Bose Aknmu, ambaye hivi karibuni alikuwa aolewe, alibakisha siku 3 kabala ya ndoa na ndipo Video yake chafu aliyorekodiwa mwaka 2007 ilipowekwa mitandaoni tukio lililomkasirisha mume mtarajiwa kiasi cha kuipiga stop ndoa hiyo.

Vido kwa wakubwa Tu, Weka mbali na watoto
Her name is Bose Akanmu and the life she lived has brought her the greatest shame of her life. I used to tell girls that their mess has a way of coming back to hurt them. Now it has happened! See the video below...



Read More »

PICHA: ANGALIA WATUHUMIWA WA WIZI WALIOSAULIWA NGUO ZAO NA KUBAKI WATUPU HAPA


Kama ulipata bahati ya kusikia kisanga hicho pande za Nigeria ambapo Njemba moja na wadada wawili walichezea kichapo huku wakiwa watupu kutokana na kutuhumiwa kwa wizi wa fedha za mdosi mmoja huko huko.

Angalia picha zaidi hapo chini, za mwizi 40, wizi noma jamani, tahadhari kabla hayaja kukuta.




Read More »

NAOMBA NIKUJUZE YA KWAMBA TABU LEY, MKALI WA RHUMBA AMEACHA WATOTO 68


Kama kuna mwanamuziki ambaye ameacha historia ya pekee katika maisha yake, si mwingine ni Pascal-Emmanuel Sinamoyi au Tabu Ley (76) kama anavyojulikana na wengi.
Alifahamika pia kwa majina ya Mfalme wa Rhumba Afrika au muimbaji mweye sauti nyororo, ambaye amefariki dunia na kuacha watoto 68 na wajane wasiojulikana idadi.
Ana historia yenye matukio lukuki katika uhai wake, miongoni mwa matukio hayo ni kuzaliwa na kupewa jina la Pascal-Emmanuel Sinamoyi Tabu, lakini baada ya Joseph-Desiré Mobutu kuchukua uongozi wa nchi na kubadili jina la nchi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo na kuiita Zaire, pia na yeye (Mobutu) kubadili jina lake na kujiita Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu wa Za Banga, Wazaire wengi walibadili majina akiwemo yeye (Tabu), aliyejiita Tabu Ley.
Matukio ya Tabu Ley hayakuishia hapo pia alizaliwa Novemba na amefariki dunia Novemba (Novemba 13 1937- Novemba 30 2013), historia ya maisha yake ya ndoa inaonyesha alimuoa Mbilia Bel na kuzaa naye mtoto mmoja, lakini baada ya kifo chake Tabu Ley anatajwa kuacha watoto 68 akiwemo rapa wa Ufaransa Youssoupha.
Tabu Ley mwaka 1988 alikwaruzana na Mobutu sese Seko na kulazimika kuikimbia Zaire na kwenda kuishi uhamishoni Ufaransa. Mwaka 1985 Serikali ya Kenya ilipiga marufuku muziki wa kigeni kwenye redio ya Taifa, lakini Tabu Ley akimshirikisha Mbilia Bel waliimba wimbo “Twende Nairobi” uliokuwa ukimsifu Rais Daniel arap Moi, baada ya muda mfupi Rais Moi aliruhusu tena nyimbo za kigeni kwenye redio ya Taifa.
Kati ya watu wanaotajwa kuwa kiini cha kumbukumbu wakati huo, ni pamoja Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu wa Za Banga, Rais wa zamani wa iliyokuwa Zaire na mwanamuziki wa Rhumba, Pascal-Emmanuel Sinamoyi Tabu Ley pia wa Zaire.
Mobutu anakumbukwa kwa utawala wa kidikteta na kuiongoza Zaire, sasa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), kama familia yake na siyo nchi. Mwanamuziki Pascal maarufu kama Tabu ley akikumbukwa kwa mafanikio katika sanaa ya muziki Afrika.
Tabuley, aliyezaliwa mjini Bagata Novemba 13 1937, na ambaye anabaki kuwa alama na kielekezo cha mafanikio na kiini cha utambuzi wa muziki wa Afrika katika mtindo wa ‘Soukous’, amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Historia ya muziki inamuonyesha Tabuley ni mwanzilishi na mmiliki wa kundi la Orchestre Afrisa International, alifariki dunia Novemba 30 mwaka huu jijini Brussels, nchini Ubelgiji alikolazwa kwa matibabu ya ugonjwa wa kiharusi.
Tabu Ley, aliyekuwa pia mwanasiasa hakuwahi kupata nafuu tangu alipokumbwa na ugonjwa wa Kiharusi mwaka 2008, na afya yake ilibadilika zaidi Jumatatu ya wiki iliyopita kabla ya kufariki dunia.
Msanii huyo alikuwa akitarajiwa kufanyiwa mazishi ya kitaifa kwenye Jiji la Kinshasa Jumatatu wiki ijayo, alisema mmoja ya wakwe zake, Jean-Claude Muissa.
Hakuna shaka kwamba msiba wa mkongwe huyo umewashtua makundi ya watu wote, wakubwa kwa wadogo hasa ukizingatia kuwa, muziki wake umeendelea kupendwa hata kizazi baada ya kizazi.
Jitihada zake za kuutangaza muziki wa Kongo na kuufanya kujulikana kimataifa, zitabaki kuwa changamoto na mfano wa kuigwa hasa kwa kuzingatia ‘utajiri’ mkubwa wa nyimbo alizoacha 3,000 na albamu zaidi ya 250.
Tabu Ley anabaki kwenye kumbukumbu ya mwanamuziki pekee wa Rhumba Afrika aliyeimba kwa mafanikio, akitumbuza jukwaa kwa zaidi ya miaka 50, huku sehemu kubwa ya nyimbo zake akiwa ametunga mwenyewe.
Mbali na kuwa na uwezo wa kuimba nyimbo kwa lugha zaidi ya moja, pia alitunga na kuimba nyimbo za Kiingereza na hiyo ilithibitika mwaka 1990, alipohamia California, Marekani na kuendesha shughuli zake za muziki.
Baadaye Tabu Ley alikuja kuwa mpinzani mkubwa wa utawala wa Mobutu Sese Seko uliodumu kuanzia mwaka 1965 mpaka 1997 kiasi cha kulazimika kuikimbia nchi na kwenda kuishi uhamishoni.
Mwaka 1990, Mobutu aliupiga marufuku wimbo wa Tabu ley “Trop, c’est trop” ikimaanisha kwa tafsiri isiyo sahihi ‘Imezidi, imetosha’.
Baada ya Rais Mobutu Sese Seko kuondolewa madarakani mwaka 1997, Tabu Ley alirejea Kinshasa na kupewa nafasi kwenye Baraza la Mawaziri kwenye Serikali ya Rais Laurent Kabila.
Aliteuliwa kuwa Waziri wa Utamaduni wakati wa utawala wa hayati Rais Laurent-Desire Kabila---baba wa Rais wa sasa Joseph Kabila, na baadaye akawa Makamu Gavana wa Kinshasa.
MUZIKI:
Mwaka, 1954, wakati akiwa na miaka 14 aliandika wimbo wake wa kwanza iliyojulikana kama ‘Bessama Muchacha’ akishirikiana na Joseph “Le Grand Kallé” wa bendi ya Kabasele na African Jazz.
Baada ya kumaliza sekondari, alikuwa tayari mwanamuziki kamili jukwaani. Tabu Ley aliimba nyimbo nyingi za ukombozi wakati huo, na kibao chake kilichotamba kilijulikana kama Cha Cha baada ya Zaire kupata uhuru 1960.
Alibaki kwenye bendi ya African Jazz mpaka mwaka 1963 baada ya kukubaliana na Nico Kasanda kuunda kundi lao lililojulikana kama African Fiesta.
Kundi hilo lilidumu kwa miaka miwili tu baada ya wawili hao kutengana, ambapo Tabu Ley aliunda kundi lingine kutoka kwenye muungano huo na kulipa jina la African Fiesta National, ambalo pia lilikuwa linajulikana kama African Fiesta Flash.
Baadhi ya nyimbo walizopiga ni pamoja na Afrika Mokili Mobimba uliouza nakala za kutosha miaka ya 1970.
Wanamuziki wengine kama Papa Wemba na Sam Mangwana ni miongoni mwa waliokuwa kwenye kundi hilo miaka ya 1970.
Mwaka 1970, Tabu Ley alianzisha kundi la Orchestre Afrisa International, ambapo aliwahi kuimba pamoja na Franco Luambo wa TPOK Jazz na kufyatua vibao kama “Sorozo”, “Kaful Mayay”, “Aon Aon”, na “Mose Konzo” na Iisanga ya Baganga.
Kutokana na nyimbo zake kama “Adios Thethe” na “Mokolo nakokufa” (siku yangu ya kifo), Tabu Ley alichangia kuusambaza umaarufu wa mtindo Soukous mwaka 1970, na alikuwa Mwafrika wa kwanza kutumbuiza kwenye ukumbi mashuhuri wa Olympia, Paris Ufaransa.
UHUSIANO NA MBILIA BEL
Baadaye Tabu Ley aligundua kipaji cha msanii wa kike Mbilia Bel, ambaye kufanya kwake kazi kwenye kundi hilo kulisaidia kwa kiasi kikubwa kuitangaza bendi yake. Alimfanya Mbilia Bel kuwa mwanamke wa kwanza kuimba midundo ya soukous iliyozidi kupendwa zaidi.
Uhusiano wa karibu kati ya Mbilia Bel na Tabu Ley ulisababisha kufunga ndoa katikati ya miaka 1980. Mwaka 1987, Tabu Ley alimleta msanii mwingine wa kike Kishila Ngoyi (Faya Tess) kusaidia kuimba na Mbilia Bel.
Kujiunga kwa Tess kwenye kundi hilo kulipelekea uhusiano wa Mbilia Bel na Tabu Ley kuyumba, huku msanii huyo mpya akimfunika vilivyo Mbilia Bel katika ziara ya muziki walizofanya Tanzania, Kenya na Rwanda kuitangaza albamu ya Nadina.
Mwishoni mwa 1987, Mbilia Bel alijiondoa kwenye kundi na kuamua kufanya muziki kama msanii huru, hatua iliyoporomosha umaarufu wa kundi la Tabu Ley.

Read More »

ANGALIA PICHA 8 ZA MALTILDA A.KA HIPSY AKIJIACHIA NA MAPOZI TOFAUTI TOFAUTI, NI BALAAA!!!


Wakati mwingine unaweza ukakutana na Mwanamke wa aina ya pekee na uzuri wake ukakufanya mwanaume ukose la kuongea, sijui kwa wanaume waliokamaliki hili mnalionaje, naomba niwatambulishe kwenu Maltilda Quaye a.k.a Hipsy, ni mwanachuo kutoka nchini Ghana ambaye anachipukia kwa kasi ya umeme katika masuala ya Urembo na kuonekana katika Videos mbalimbali. Kweli hizi ni Hips dont lie, angalia picha 7 zaidi hapo chini.








Read More »

MAHEEDA KARUDI TENA


Hata baada ya kufungiwa akaunti yake ya mwanzo na Instagram kwa kuzidish kutupia Pics zisizo na adabu, aliyekuwa muimbaji wa nyimbo za injili, Maheeda amerudi tena na kuwatupia fans na haters wake pics mpya kupitia akaunti yake mpya ya instagram.

Add caption

Read More »

AKON ANAHUSUDU WANAWAKE WENYE "INYE" KUBWA, KIAFRIKA ZAIDI



Mkali wa Muziki kutoka Nchini Marekani, Msenegal aliyelowea, Mkuu wa Convict label Akon ameuthibitishia Ulimwengu kuhusu asili yake ya kupenda na kusudu wanawake waliofungashia. Kiafrika zaidi, hayo yanakuja siku chache baada ya kusema kwamba kwa mwanaume aliyekamilika inakuwa ni ngumu kuwa na Mwanamke mmoja.

Read More »

Inapendeza: Mapacha wa Kike na Wa Kiume Waoana Siku Moja.


Tukio hilo la kuvutia limetokea huko pande za Delta State ambapo Mapacha wa Kiume, Chinonso A. Okueza na Chuzor A. Okueze walifunga ndoa na wasichana mapacha, Folaweni Taiwo Okuninyi na Febisola Okuninyi mnamo tarehe 30 November 2013. Kila la a kheri kwao, angalia picha zaidi hapa chini.

 

Read More »

Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger