Cheki Picha za Show ya Diamond Pale Mwanza, the Rock City

-->

 

Hizo ni Shangwe za Mini Kabaaang!! ya Tigo ndani ya Mwanza.



Silaha hatari kama kawaida yao wakianza taratibu.....Mpera Mpera tu
hadi kieleweke''



Haya sasa ni mwendo wa nyoka nyoka tu.......
wataelewa sasa hivi au wataelewa baadae...?






Rama Mpauka akimseti roboti wake 
ikafika time ya the prezident kuingia........
Nikistaajabishwa na shangwe na umati wa watu waliokuwa
wamefurika uwanjani pale pale tu nilipotokea uwanjani





....hapo sasa yanii....afe kipa afe beki lakini ushindi lazima....





Kaskazini mwa uwanja wa ccm kirumba umati
 wa watu waliofurika wakishuhudia
 amsha amsha ya wasafi








nimpende nani sasaaa...........???


Aya sasa....Nilikuwaga na nani zamani.....???? Alafu akafanyaje.....??
Leo nataka mtoto wa mwanza kunitibu maradhi nayougua



hakika nilikumbuka kigoma............







siwasikii..etiii??

Read More »

Mwanamuziki Selena Gomez Apandaa Stejini bila "Chupi"

-->
Kweli hawa wasanii wa nje hamnazo, juzi juzi, Girlfriend wa Justine Bieber, Mwanadada Selena Gomez aliamua kuweka Headlines kwenye media pale alipoanda stejini na kuanza ku perform huku sketi aliyovaa ikionesha kutopata support ya chupi kwa ndani kama picha zinavyoonesha.



Read More »

Mambo ya Soka na Obama

-->
--> Katika Kukamilisha Ziara Yake Nchini Tanzania, Rais Obama alitembelea Kiwanda cha Nishati cha Symbion Ubungo, hapo tunaona Mzee Obama akionesha madoido kwa kuupiga mpira maalum kwa kichwa na danadana, mpira huo unauwezo wa kuzalisha Nishati ya Umeme ambayo huweza kutumika kuchajia simu na kuwasha taa,
na huchajiwa ukiwa unadunda dunda.

Read More »

Kama Shemeji amefikia hivi Jiandae....!!!

Though inachekesha lakini hebu vuta picha ndo mkeo kashafikia hatua ya kuvaa size kama hiyo, basi kaka yangu jiandae kwa mengi, miongoni mwa hayo ni ugomvi na wanaume wenye macho kodo, gharama za ziada za usafiri ili kujilinda na mengine kibao.


Read More »

Wapenzi wafariki wakati wakifanya Mapenzi!!!

Watu wawili (wapenzi) wamefariki huko China
baada ya kuanguka kupitia dirishani baada ya kioo walichokuwa wamekiegemea kuvunjika wakati wanafanya mapenzi. Miili yao ilikuwa imatapakaa dama huku ikionesha ni jinsi gani walivyofikia.

Read More »

Msanii wa Picha Ngono Atangaza wadau wamtumie Picha za "MAUMBILE" Yao

Yule muigizaji asiye na haya wa picha za ngono huko Nigeria, maarufu kama Afro Candy, ameandika katika Twitter Page yake kwamba anahitaji wadau wapige picha "MAUMBILE YAO" na kisha kumtumia huku akiwatahadharisha watu kutopiga picha "Dudu" za wengine kwani utapohitajika kwa ajili ya usaili halafu wasione kilichokuwa katika picha itakuwa tabu.




Read More »

Msanii JB Ala shavu


Na Denis Mtima
MWIGIZAJI Bora wa Kiume Bongo, Jacob Steven ‘JB’ amefuatwa na mastaa Wazungu kutoka Ulaya nchini Norway.
Hivi karibuni, Ijumaa Wikienda lilimnasa JB akipigwa na baridi usiku wa manane kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar ambapo alipoulizwa kulikoni alisema kuna waigizaji kutoka Norway wanaokuja kumfuata hivyo anawasubiri.
Alisema: “Kuna waigizaji Wazungu kutoka Norway wanakuja kunifuata, nimekuwa nikiwasiliana nao kwa muda mrefu, mwanzoni nilisita kwa kuwa nilikuwa siwajui. Baadaye nilijiwa na mawazo kwamba kwa nini nisiwatafute mtandaoni? Kweli nilipoingia mtandaoni na kutafuta majina yao niliwapata.
“Wapo wawili, majina yao ni Bard Yuvis Akir na Vega Uvisakir, waliniambia wanakuja kunichukua nikafanye nao kazi za filamu kwao, nikimaliza Tamasha la Matumaini tutarekodi filamu moja hapa nchini ndiyo tuondoke.”
wakati mazungumzo yakiendelea, JB aliitwa kwenye mlango wa kutokea uwanja wa ndege na kuwapokea wageni wake kisha kutimua eneo hilo.

Source:- Global Publishers

Read More »

Obama Atua Dar, Kukutana Na Bush Kesho

Rais wa Marekani, Barrack Obama amewasili jijini Dar Es Salaam leo majira ya saa nane mchana na kupokelewa na mamia ya wananchi pamoja na viongozi mbali mbali wa serikali huku kukiwa na ulinzi mkali kutoka vyombo vya ulinzi na usalama vya Tanzania na Marekani. Katika ziara yake hiyo yenye lengo la kuongeza na kukuza ushirikiano wa kibiashara baina ya Nchi zinazoendelea na mataifa yaliyoendelea.


 Rais Obama anatarajia kutembelea kiwanda cha uzalishaji umeme cha Symbion  cha Wamerekani, ziara hiyo imekuja miezi mitatu baada ya ziara ya Raisi wa China, ikionesha ni jinsi gani mataifa haya yamo katika ushindani wa kibiashara na rasilimali kutoka katika nchi zinazoendelea, hususani Tanzania. Rais Obama pia anatarajia kukutana na Rais Mstaafu George Bush ambaye yupo Nchini kwa ajili ya Taasisi yake na pia wawili hao wanatarijia kuonana kwa ajili ya kuweka mashada ya kumbukumbu ya watu waliofariki kutokana na milipuko ya mabomu katika ubalozi wa marekani mwaka 1998.


Read More »

Mwandishi wa Habari Kikaangoni baada kutoa habari juu ya mabega ya Mhanga

Mwandishi mmoja wa habari huko India amejikuta katika wakati mgumu huku akitupiwa shutma na lawama kutoka makundi mbali mbali kwa kitendo chake cha kutoa taarifa ya mafuriko ambayo yameathiri watu zaidi ya 1000 na kuwaacha bila makazi huko India huku akiwa juu ya mabega ya mmoja ya waathirika hao. Katika utetezi wake mwandishi huyo amesema haikuwa dhamira yake na kwamba Mhanga huyo alijitolea mwenyewe kumbebe ikiwa ni sehemu ya kuonesha shukrani kutokana na msaada aliopewa na mwandishi huyo huku akitaka kuuonesha ulimwengu Madhara ya Mafuriko hayo hasahasa nyumbani kwake.


Read More »

Ongeza Spidi ya "Tendo la Ndoa" huku ukipunguza Kupooza na Heart Attack


Utafiti umegundua kuwa Juice itokanayo na Bibo husaidia kuongeza ufanisi katika kujenga ndoa na kuziboresha, mbali na hivyo tunda hilo litokanalo na Mkorosho pia husaidia kupunguza magonjwa ya moyo na kupooza.

Read More »

D'Banj Atoswa na Mrembo Jukwaani

Wiki iliyopita, msanii wa Dance hall, Mkali D'Banj alipata fedheha ya aina yake alipokuwa akifanya show katika concert moja huko Lagos baada ya kumlazimisha mwanadada mmoja mrembo kucheza nae, baada ya mkali huyo maarufu kama Koko Master kumfuata mrembo huyo huku akidhania dem huyo atajirahisi, mrembo huyo alimtosa kiana jamaa, jamaa kuona hali inakuwa ngumu akamvuta dem stejin, hata hivyo fedheha hiyo iliongezeka mara dufu baada ya kupanda Njemba nyingine na Kumchukua mrembo huyo huku akisisitiza kuwa yule ni mke wake na jamaa D'Banj aangalie ustaarabu mwingine.


Read More »

Hali ya Mandela bado si shwari

Hali ya Afya ya kiongozi wa Africa ya Kusini Mzee Nelson Mandela bado si shwari tangu alipolazwa tarehe nani mwezi huu akisumbuliwa na matatizo ya mapafu. Kutokana na kuzidi kudhohofika kwa afya ya Nguli na Mlezi wa Taifa hilo lenye maendeleo zaidi Kusini mwa Jangwa la Sahara, Imemlazimu Kiongozi wa Nchi hiyo Mzee Jacob Zuma Kuahirisha ziara yake ya nchini Msumbuji ambako alitakiwa kuwa msemaji katika kikao cha Masuala ya Miondombinu cha SADC Huko Maputo.Hali ya Afya Mzee Mandela mwenye umri wa miaka 94 imezidi kuwa mbaya ndani ya masaa 48 yaliyopita kiasi cha kuwaweka raia wa nchi hiyo tayari kwa lolote.



Read More »

Maziwa ya Kichina yampasukia Mwanamke wakati amelala!!!

Mwanamke mmoja Mkazi wa Beijing amefikishwa hospitalini baada ya kupasuka kwa moja ya ziwa(titi) lake ambalo aliliongeza kwa teknolojia ya kisasa. Mwanamke huyo amekutwa na mkasa huo baada ya kulaliatumbo lna matiti hayo kwa muda wa zaidi ya saa 4 huku akiwa anacheza game katika simu yake ya kiganjani. Mwanamke huyo tayari amefikishwa hospitalini kwa ajili ya upasuaji huku juhudi zikiangaliwa katika kumrejeshea heshima yake ya kifuani tena.



Read More »

"Aibu" Mwanachuo avuliwa nguo baada ya kuiba simu.

Tukio hili limetokea huko Nigeria ambapo binti anayesemekana ni wa mwaka wa kwanza alikwenda kutembea katika hostel za wenzake na alipopata mwanya akaiba simu aina ya Black Berry. hata hivyo baada ya mwenye simu kushtuka binti huyo aligoma kuichukua simu hiyo na ndipo watu walipoamua kuipiga na kuanza kuita ikiwa sehemu za siri. Baada ya tukio hilo wavulana kutoka vyumba vya pembeni walikuja na kumsachi huku wakimvua nguo, hakuwa na la ziada zaidi ya kuwa mpole wakati watu wakimpiga picha hizo za aibu.


Read More »

Duuh!! Mzee wa Miaka 60 mbaroni baada ya kufumwa akivinjari na Binti ndani ya Gari!!!

--> Ule usemi unaosema ng'ombe hazeeki maini umejidhihirisha juzi pale Mzee mmoja wa umri wa miaka 60 alipofumwa akijiachia na ka binti ka miaka 17 ndani ya gari. Mzee Opanyin Kofi Appiah alikamtwa baada ya kupatikana ushirikiano wa kutosha toka kwa wananchi wa maeneo ya Kwadaso Beposo walikuwa wakifuatilia nyendo zake baada ya kuvuja taarifa zake za kuwa na mahusiano na mabinti wadogo.


Read More »

Msichana anusurika Kubakwa, Amchoma Kisu na Kumuua Mbakaji Huyo!!



 Onyinyechi Orakwuelum alikuwa akisheherekea siku yake ya kuzaliwa na alikuwa akitimiza umri wa miaka 18. Hata hivyo siku hiyo ambayo huwa ni ya furaha miongoni mwa binadamu wengi, imegeuka na kuwa ya majonzi na matatizo baada ya mwanadada huyo kuwa anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumuua Kijana ajulikanaye kwa jina la Ayobami, ambaye binti huyo anadai alidhamiria kumbaka na katika kujitetea kwake alifanikiwa kumpiga kisu na kujisalimisha mwenyewe polisi.

Siku ya tukio Ayobami alimpigia simu binti huyo na binti akamwambia ya kwamba yupo nyumbani na ilikuwa ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake, jamaa akamuuliza kama alikuwa na mipango yoyote ya sherehe, binti akamwambia hapana ni mapumziko na kuikumbuka tu siku hiyo, Ayobami akamwambia wakutani mida ya saa 1 jioni maeno fulani, binti alikubali, na alipoeenda wakaenda mpaka nyumbani kwa Ayobami ambaye alitumia muda mfupi kukaa katika laptop yake na baadae akamfuata na kumwambia ya kwamba anampenda na anaomba awe mpenzi wake. Onyinye alikataa sababu alihisi ni utani lakini jamaa alivyozidi kumsogelea karibu, binti huyo akagundua kuwa Ayobami amelewa, naye akakazania kupewa japo penzi kwa siku husika ikiwa hatamkubalia basi angemfanyia kitu mbaya.

Baada ya kukuru kakara za muda mrefu, jamaa akaelekea jikoni na kuchukua kisu ambacho alikuwa akimtishia msichana huyo huku akianza kumvua nguo kwa nguvu, kwa bahati kisu hicho kilidondoka chini na ndipo Onyinye alikiokota na kumchoma nacho, akaskia sauti kutoka kwa Ayobami akilalama kwamba kamchoma, Onyinye alikimbia na kwenda kutoa taarifa kituoni, polisi walipofika eneo la tukio walimkuta jamaa kashafariki na kisu kilimuingia katika moyo.
Mpaka sas binti huyo anashikiliwa na polisi mpaka uchunguzi utakavyo kamilika.

Read More »

Exclusive!!List ya wanaume ambao Kim Kardashian amewahi kuwa nao!!!!

--> Haya sasa, hiyo ni list fupi ya watu maarufu tu ambao bibie Kim, mzazi mwenzie Kanye west amewahi kuwa nao au kutembea nao. Sijui kwa wale ambao si maarufu maana kwa hapo tu idadi inafikia kama 22 hivi, angalia mwenyewe.
TJ Jackson (1994-1998)
Damon Thomas (m. 2000–2004)
Julian St. Jox (2001) (akiwa mke wa Damon)
Ray J (2002-s*x tape made 2003(akiwa mke wa
Damon)-2007)
Nick Lachey 2006
Nick Cannon (Sept 2006-Jan 2007)(akiwa ndani ya mahusiano na Ray J)
FONSWORTH BENTLEY (2006-Feb 2007)
Marquis Houston (March 2007)
Evan Ross (May 2007)
Reggie Bush (2006 (akiwa ndani ya mahusiano na Ray J)-2009/2010)
Christiano Ronaldo (April 2010)
Shengo Deane (April 2010)
Miles Austin (June 2010)
Michael Copon (October 2010)
Jon Mayer (October 2010)
Gabriel Aubrey (November 2010)
Kris Humphries (m. 2010–2013)
Kanye West (2007–present)
Pia Brett Lockett, The Game, 50 cent, Scott Storch........

Read More »

Waigizaji wa Movie ya First Wife wafanya Mapenz* kiukweli

Hii ni Movie mpya ya msanii maarufu wa nchini Ghana, iitwayo My Fist Wife. Katika Movie hii mwanadada Nikki Samonas akiwa na Jim Iyeke, wanaonekana kukolea kimahaba na msanii mwenzake hadi kufikia kiasi cha kufanya kweli badala ya maigizo kama ilivyotakiwa. Kwa sasa wengi miongoni mwa mashabiki wake wamechukizwa na kitendo chake hicho, na hii imemletea picha na sifa mbaya katika Tasnia ya Uigizaji na jamii kwa ujumla.





Read More »

Mwalimu apigwa miaka 5 jela kwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanafunzi wake.


Jeremy Forest amehukumiwa kifungo cha miaka 5 na nusu jela baada ya kukubali mashtaka yaliyokuwa yakimkabili mwalimu huyo wa Hisabati, Mwalimu huyo wa miaka 30 amehukumiwa kwa makosa ya kumteka binti wa miaka 15 kisha kutoroka nae na kukimbilia Ufaransa ambapo waliponda raha za dunia kwa siku 8. Jana akiwa mahakamani hapo jamaa alithubutu kumwambia binti huyo " i love you" na binti akajibu " i love you too, im so sorry"
Kwa ishara za midomo huku binti akitoa machozi. Kwa upande wake msichana huyo ametetea uamuzi wake wa kwenda na mwalimu huyo kwamba hakulazimishwa na ya kwamba wanapendana.
Imeelezwa kuwa jamaa alianza uhusiano na mwanafunzi huyo akiwa na umri wa miaka 14, na aliwahi kumbusu darasani na ndipo mambo yakaanza rasmi. Pia katika ziara yao ya huko Ufaransa wamekuwa wakifanya mapenzi hadi mara 8 kwa siku moja ikiwa ni hotelini na katika gari.

Read More »

"Sitakubali Kudhalilishwa katika Mitandao ya Kijamii" Eniola

Muigizaji Eniola Badmus amesema kwamba hayupo tayari kumvumilia mtu yoyote atakae mdhalilisha katika mitandao ya kijamii kwa sababu ya umbo lake. anajua nini anachokifanya na anaishi atakavyo.


Read More »

Lil Wayne kitimoto kwa kukanyaga bendera ya US

Rapper Lil Wayne amejikuta katika mtafaruku na raia wa nchi baada ya kuonekana katika video moja akitembea juu ya bendera ya nchi hiyo. hata hivyo yeye mwenyewe amejitetea na kusema kwamba hakuikanyaga kwa makusudi.

Read More »

Kim aapa kutobeba ujauzito tena

-->
Mwanadada Kim Kardashian amejiapiza kutozaa tena baada ya kuwa anasumbuliwa na maumivu makali ya tumbo baada ya kujifungua.


Read More »

Mwalimu wa chuo kikuu aacha kazi baada ya kutupiwa Condom zilizotumika

-->
Mkufunzi mmoja katika chuo kikuu nchini marekani ameamua kuacha kazi baada ya matukio ya mara kwa mara yanayofanywa na baadhi ya wanafunzi wake kwa kumwachia condom zilizotumika katika ofisi yake ikiwa ni ishara ya kutomkubali. " Ni mazingira magumu ya kazi nnayokutana nayo" alisema baada ya kufikia uamuzi huo.

Read More »

Staa wa Nollywood atoa trela ya video yake mpya ya Ngono

-->
Kama inavyoonekana katika picha, video hiyo mpya inayokwenda kwa jina la Destructive Instincts 3&4. Mwanadada Judith Okopara (41) mama wa watoto wawili ikafanya balaa lake. Kwa watu wazima tu Liknk ya Video hiyo ni hiyo hapo Chini.
http://gossipworldng.blogspot.com/

Read More »

Nick Minaj Akaa Uchi katika front page la jarida la KING

--> Mwanadada Asiye ishiwa vituko, Nick Minaj amefanya balaa tena baada ya kupata tenda katika jarida la KING akiziacha sehemu zake za siri waziii.


Read More »

Chid Benz Yamkuta- Achezea Ngumi jiwe toka kwa Kala Pina



Baada ya kumtandika makofii Mangwair, Msanii Chid Benz amepata malipo hapa hapa duniani baada ya kuvamia shoo ya Kikosi cha mizinga Maisha Club Juz juz huku akiwa kalewa na kutaka kutoa burudani baada ya kumpokonya Nick Mbish Mic ambaye alikuwa stejin. baada ya tukio hilo Mic ikazimwa na ndipo Kala Pina akapanda Jukwaani na kuamrisha yoyote asiyehusika na shoo ashuke chini, hapo Chid akakaidi amri, kutahamaki boonge la gumi hadi chini, na alipotaka kurudi stejini ali a fight back akazuiwa na kamati ya ulinzi.


Cheki Video hapa chini

-->



Read More »

Miongoni mwa Picha za Wababa waliotia fora kwa kucheza

Hii ni miongoni mwa picha katika collection ya hot 20 photos ya wababa waliotia fora kwa kucheza regardless their political or influential roles.
-->



Read More »

Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger