Kajala Atimkia South Africa, Wadau Wamohofia na Madawa, Mwenyewe Asema ni kupunguza Stress Tu!!!


Imelda Mtema
MWIGIZAJI Bongo, Kajala Masanja ambaye miezi michache iliyopita alichomoka nyuma ya nondo za Segerea kwa dhamana, ametimkia nchini Afrika Kusini kupunguza mawazo.
Kajala Masanja.
Mapema wiki hii, Kajala alitupia picha zake mbalimbali katika mtandao wa Instagram zikimuonyesha akiwa nchini humo na kusindikiza na ujumbe wa maandishi uliosomeka kuwa amekwenda kwa ajili ya kubadilisha hali ya hewa kwani toka akumbwe na matatizo, hajapata mtoko wa kupumzisha akili.
“Nimekuja kubadilisha hali ya hewa  maana nimetoka kwenye matatizo, sijapata kabisa muda mzuri wa kuipumzisha akili yangu hivyo nimeona bora nije huku kupumzika kidogo kisha nitarejea nyumbani,” alisema Kajala.

Source: GPL

Read More »

New!! "SIDIRIA" Zisizokuwa na Mikanda wa Support Zatengenezwa, Angalia Picha Zilivyotolewa Rasmi Hapa.



Hatimaye wazungu wafanikiwa kuwaletea Dada zetu Sidiria zisizokuwa na Mikanda, yaani unaziweka tu kama Kofia vile, wenyewe wanaziita "INVISIBRA"

Siki ya jana wakazi wa London walipata Tangazo la Aina yake baada ya Kundi la Ma Model 10, Kukatiza katika mitaa mbali mbali ya Jiji hilo wakiwa bila mashati kwa kile kinachodaiwa kuitangaza bidhaa hiyo mpya sokoni.

Ni sidiria zisizokuwa na Mikanda wala Support ya Aina Yoyote ile kama zinavyoonekana katika Picha.




Read More »

Wanaume wawili wafanya Shopping "Uchi"


Haikujulikana mara moja nini hasa ilikuwa dhamira yao baada ya Wanaume wawili walioonekana wazima kiafya na kiakili kuingia Super Market na kufanya Shopping zao huku wakiwa wamevaa "Chupi" Tu tena zenye rangi ya Kufanana.

Hii inafanana na ile tamaduni ya " No Pants Day" ya Huko Marekani na Ulaya ambapo kila tarehe 14/01 huadhimisha matukio hayo ambapo hutoka katika shughuli zao wakiwa na chupi au bukta tu.

Read More »

Dah Mcheki Jamaa Alijikamatia Halafu ana..........!!!!!

Angalia Picha Hiyo kwa Umakini, Kwa Tathmini ya haraka unaweza Ukahisi Kuna Jambo linaendelea kumbe dah mazoezi ya Baiskeli .
Well, Cheka Kidogo Upate Afya.



Read More »

Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere, Uchochoro wa Madawa ya Kulevya



TUKIO la wasichana wawili wa Tanzania waliokamatwa na dawa za kulevya Afrika Kusini, limechukua sura mpya baada ya kujulikana kwamba, siku ambayo watuhumiwa hao walisafiri kupitia Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere Dar es Salaam, mbwa wanaohakiki usalama wa mizigo hawakuwapo. Chanzo chetu cha habari kiliiambia MTAZANIA, kwamba pamoja na uwepo wa kitengo cha kudhibiti dawa za kulevya uwanjani hapo, kitengo hicho kina kasoro kadhaa zinazotakiwa kurekebishwa.
Dawa za kulevya.
“Mimi niko hapa, najua kila kinachoendelea, nakwambia siku hiyo ambayo wale wasichana walipitisha dawa hizo, hapakuwa na mbwa wa kunusa, naamini kama mbwa wangekuwapo, lazima siri ingefichuka,” kilisema chanzo hicho.
Kwa mujibu wa chanzo hicho, katika viwanja vya ndege kuna vitengo vingi vikiwamo Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Idara ya Uhamiaji na askari polisi ambapo kila kitengo kina majukumu yake.
Agness Gerald 'Masogange'.
“Kwa hiyo, ninachotaka kukwambia ni kwamba, jukumu la Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) ambayo baadhi ya watu wanasema inachangia kupitisha dawa za kulevya, haihusiki kwa sababu jukumu lake kuu ni kuzuia vitu vinavyohatarisha usalama wa ndege na abiria.

“Kuhusu uzito wa mizigo na malipo, hilo linafanywa na shirika la ndege husika na baada ya shughuli zote kufanyika, mizigo hukaguliwa kwa mashine na kunuswa na mbwa kabla ya safari kuanza,” kilisema chanzo hicho.
Melisa Edward.
Pamoja na hayo, utata mwingine juu ya hali ya usalama na uwajibikaji wa watumishi wa uwanja huo wa ndege umejionyesha kupitia nyaraka zilizopatikana.

Uchunguzi uliofanywa na MTANZANIA kwa siku kadhaa sasa, umebaini dawa hizo kilo 150 aina ya Crystal Methamphetamine zenye thamani ya Sh bilioni 6.8 zilizokamatwa na wasichana hao, zilimhusisha pia mshirika wao kibiashara aliyefahamika kwa jina la Mangunga ambaye majina yake matatu tunayo.

Kwa mujibu wa uchunguzi huo, wasichana hao, Agness Gerald (25) na Melisa Edward (24) walisafiri ndege moja na Mangunga wakitoka Dar es Salaam kwenda Afrika Kusini.

Nyaraka hizo zinaonyesha kwamba, wakati Manguga na wasichana hao wakisafiri na ndege ya Shirika la Ndege la Afrika Kusini (SAA), namba SA 189, Julai 5 mwaka huu, walikuwa na mabegi tisa.

Nyaraka hizo zinaonyesha jina la Agness Gerald, kwamba ndiye aliyelipia mabegi hayo, lakini katika sehemu inayotakiwa kuandikwa barua pepe, imeandikwa barua pepe ya Mangunga inayosomeka, Nmangunga@Gmail.com.

Mabegi hayo, yalikuwa na kilo 150 za dawa za kulevya lakini kila mmoja alitakiwa kusafiri na kifurushi cha kilo 20 na hivyo kutakiwa kuwa na kilo 60 wote kwa pamoja.

Baada ya kila mmoja kuwa na kilo 20, zilibaki kilo 90 ambazo walizilipia Dola za Marekani 94 badala ya Dola 450.

Nyaraka zinaendelea kuonyesha kuwa, Mangunga, Agness na Merisa wakati wa safari yao walikaa kiti kimoja kilichokuwa na namba tofauti.

Agness alikaa kiti namba 23B, Mangunga alikaa kiti namba 23D na Melisa alikaa namba 23A.

Naye Mkurugenzi Mkuu wa TAA, Suleiman Suleiman, alipotakiwa kutoa ufafanuzi juu taarifa hizo, alikataa kulizungumzia kwa undani na kusema hana majibu kwa kuwa suala hilo liko katika uchunguzi.

Agness na Melisa, walikamatwa Julai 5 mwaka huu katika Uwanja wa Ndege wa Oliver Thambo nchini Afrika Kusini wakiwa na dawa za kulevya.

Wakati wanakamatwa, walikuwa na mabegi sita kati ya tisa waliyokuwa nayo wakati wanapanda ndege jijini Dar es Salaam.

Inasemekana mabegi matatu yaliondoka na Mangunga ambaye hadi sasa hajulikani alipo.

CHANZO: GAZETI LA MTANZANIA AGOSTI 1, 2013 na GPL

Read More »

Muigizaji wa Kike anayelipwa Zaidi Holly Wood.



Kwa mujibu wa tathimini iliyotolewa na Forbes, Angelina Jolie amefikisha kiasi cha $33 Milioni kwa kipindi cha Mwaka Moja kati ya June 2012 na June 2013.

Kupanda huko kwa Jolie kumemshusha Kristen Stewart ambaye alikuwa namba moja, lakini kutokana na Gharama kubwa za Bajeti za Movie zake kama Twilight na Snow White.

Nafasi ya Pili inashikiliwa na Jennifer Lawrence ambaye ana $ 22 Milioni wakati Kristen akishika nafasi ya tatu na $20 Milioni

Read More »

Selly Amuomba Radhi Mpenzi Wake Kupitia Live TV, Amshukuru kwa kuwa Muelewa.


Aliyekuwa Mshiriki wa BBA The Chase kutoka Ghana, Selorm Galley, Maarufu kama Selly amezidi ku Make Headlines katika media za Nchini kwao tangu kufungasha virago vyako katika jumba hilo la BBA na kurudi kwao.

Usiku wa Majuzi Mrembo huyo alifanya Surprise ya aina yake baada kutokea katika kipindi kimoja cha Televisheni cha usiku "Late Nite Celebrity Show" na Kuongea Mengi Kikubwa ni Kumwomba Radhi Mpenzi wake wa Muda Mrefu Praye Tietia Moja kwa Moja(Live)

Alisema" “I am very thankful for the opportunity given me. I want to thank my boyfriend, Praye Tietia and also use this opportunity to say I am very sorry (for all that happened),”
Alisisitiza Mrembo Huyo.




Read More »

Mzazi Ajipiga Picha za Utupu na Mwanawe Kisha Kuziweka Twitter



Kiu ya Umaarufu inawafanya baadhi ya Binadamu kupoteza Utu na Maadili kwa kukosa kufikiria mambo kiufasaha. Hivi karibuni kupitia Akaunti ya Twitter ya Mwanamke mmoja, ameweka picha aliyopigwa Ikionesha  "MAKALIO" yake na ya mwanae mdogo huku akihoji kwa wanaomfuata ya nani yanavutia?

Kweli kuna mama hapa?


Read More »

Ugonjwa wa Kutoka na Magamba ya Samaki katika Ngozi wamtesa Kijana Huyu.


Pan Xianhang, 8, ni Mtoto mzaliwa wa nchini China ambaye Majirani zake wamempa jina la "FISH BOY" Kutokana na ngozi yake kuwa na Magamba mithili ya Samaki. Pan alizaliwa huko Wenling, China akiwa na aina ya Kipekee ya Ugonjwa wa ngozi ujulikanao kitaalamu kama Ichthyosis.

Kutokana na Tatizo lake Pan amelazimika kuwa anatumia Cream na mafuta ya aina mbali mbali ili kuifanya ngozi yake ibakie katika unyevu na kuzuia kukakamaa zidi kwani humpelekea kupata maumivu makali.

Msemaji kutoka katika Taasisi inayosaidia wagonjwa wa Ichthyosis, Liz Dale amesema hakuna tiba maalumu ya ugonjwa huo zaidi ya kuhakikisha ngozi inabaki katika hali ya unyevu muda wote kwa mafuta na lotion maalum.

Zaidi ya watoto 16,000 huzaliwa kila mwaka wakiwa na aina fulani ya Ichthyosis, Ingawa ya Pan ni zaida ya wengi wao. Madakari  wanaendelea kuitafuta Tiba ya kuwatibu wagonjwa wa aina hiyo.



Read More »

Wivu wa Mapenzi wamfanya Msichana Kuliwasha moto gari la Mpenzi wake


Msichana Mmoja ambaye jina lake limehifadhiwa, wiki hii amemfanyia Mpenzi wake kit mbaya baada ya kumfumania mwanaume huyo akimsaliti na mwanamke mwingine. Binti huyo aliamua kumalizia hasira za maumivu yake kwa kulitia kiberiti gari la thamani la mwanaume huyo aina ya Range Rover Sport na kisha kutokomea kusikojulikana.

Ama kweli Mapenzi yanauma Vibaya.

Read More »

Mrembo aachwa na Mpenzi wake baada ya kuweka picha hii Face Book.


Siku chache zilizopita imeshuhudiwa kuvunjika kwa uhusiano wa muda mrefu baina ya msichana aneyeonekana katika picha na Mchumba wake kutokana na kukasirishwa kwa mwanaume huyo na kitendo cha Msichana huyo kuiweka picha hiyo Face Book.

Katika kuelezea kilio chake katika Ukurasa wake huo, binti alielezea ni jinsi gani anapenda kujipiga picha kiasi cha kufikia kununua Camera ya gharama huku akielewa ya kwamba mwanaume huyo analifahamu hilo na ndio maana hakusita kujipiga picha za aina hiyo na kuzitupia mtandaoni.

Alihoji ya kwamba iwapo kuna mapenzi ya kweli basi picha hiyo si ya kuvunja uhusiano wao!!! Vipi wewe unalionaje hili?

Read More »

Tweet ya Mwisho Kuwatukana Clouds FM hii Hapa, Angalia Mwenyewe.



Ya kwamba hana haja ya kuajiriwa na K**** Yoyote yule, Clouds wasimfuatilie yeye wala familia yake.

Read More »

Wafanya "Mapenz*" juu ya Makaburi (Picha za wakubwa, Tahadhari)

Baada ya Kuandamwa na skendo ya bustani ya ngono iliyoiweka Kenya katika ramani ya nchi chafu katika sekta holela duniani, mambo yamerejea tena kwani wauza sukari hao na wateja wamebuni sehemu nyingine ya kupeana utamu huo.





 eneo jipya ni katika makaburi ya nyeri, kwa wenyeji wa pande hizo nadhani hili si la kushangaza.




Read More »

Justin Bieber Awatemea Mate Mashabiki walikuwa wamejazana kumshangaa!!!


Kweli majuu hapaishiwi vituko, Mkali wa Pop Kijana mwenye asili ya Canada, Justin Bieber amefanya Kufuru ya aina yake baada ya kuwatemea mate mamia ya mashabiki waliokuwa wamejazana chini katika ghoroma moja alipokuwa amekwenda kwa rafiki zake Alhamis ya Tarehe 25 July. Angalia Picha zaidi Chini..


Read More »

Utata kuhusu Mafuta ya Ubuyu, Serikali yajiweka Kando.





Dar es Salaam. Serikali imesema suala la matumizi ya mafuta ya ubuyu sasa inawaachiwa wananchi wenyewe kutumia ama kuacha.
Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, alisema hayo jana alipotoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari baada ya kufungua mkutano wa mafunzo ya wataalamu kutoka vitengo vya mbalimbali vya Udhibiti Dawa na Chakula visivyofaa kwa matumizi ya binadamu kutoka nchi 16 za Kusini mwa Jangwa la Sahara.
Kwa kipindi cha mwezi sasa, watu mbalimbali kupitia vyombo wamekuwa wakitoa maoni ya kupinga kauli za Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) kwamba mafuta hayo yana madhara kwa binadamu.
Dk Rashid alisema suala la mafuta ya ubuyu ni kwamba mlaji anapaswa kuwa na tahadhari hivyo ni wajibu wa kila mwananchi kuzuia vitu ambavyo vina madhara na vinavyoweza kusababisha athari kama saratani na magonjwa mengine.
“Mafuta ya ubuyu yana athari kama vitu vingine vyote vinavyokuwa na madhara kwa binadamu ila watu wanapaswa kujua kuwa madhara haya ni sawa na madhara ya mtu anayevuta sigara, licha ya tahadhari kuwekwa kuwa uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya hivyo hivyo hata kwa mtumiaji wa mafuta ya ubuyu madhara yapo na yameshadhibitishwa na TFDA hivyo ni jukumu la jamii kuzuia tatizo hilo” alisema Dk Rashid.
Jana hiyo gazeti moja linalochapishwa kila siku liliwanukuu watalaamu wa Hospitali ya Ocean maarufu kwa kutibu saratani kwamba hawajaona kansa inayoweza kutajwa kwamba ilisababishwa na mafuta ya ubuyu.
Lakini Naibu Waziri alisisitiza kwamba licha ya kuwapo kwa taarifa kuwa mafuta hayo hayana madhara, lakini TFDA wamepima na kugundua madhara kwa mtumiaji, hivyo jukumu hili ni la kila mmoja kuhakikisha kuwa anaacha kutumia mafuta hayo au anaendelea.
Hatua hiyo imekuja siku moja baada ya Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, kusema kuwa mafuta ya ubuyu hayana madhara yoyote katika mwili wa binadamu kama yakitumiwa vizuri.


Chanzoo: Mwananchi.

Read More »

Agness Masogange Amponza Madee South Africa



Kwenye Exclusive interview na millardayo , Madee amehadithia kila kitu kilichomtokea wakati anaingia tu Afrika Kusini siku kadhaa zilizopita ambapo hii imetokea kutokana na ukubwa wa habari, uzito wa tukio la wale Watanzania wawili wasichana (Akina Masogange )  waliokamatwa kwenye kiwanja cha ndege Johannesburg wakiwa na dawa za kulevya wakitokea Tanzania.


Madee anakwambia alipotua kwenye kiwanja cha ndege, kawaida huwa kuna utaratibu wa kuchekiwa hati ya kusafiria na ukaguzi mwingine ambao hufanywa na mitambo maalum kwa kila abiria anaeingia Afrika kusini, ni ukaguzi ambao unafanywa Airport kabla ya abiria kuruhusiwa kuingia kwenye nchi yenyewe.


Kilichomfanya Madee kusachiwa na kuhojiwa karibu dakika 60 ni pale tu aliposema anatokea Tanzania, kuna wazungu wawili wenye sare tofauti za kipolisi wakaanza kumsachi mpaka kufikia kumwambia avue t shirt yake, alivua t shirt na kubakiwa na nguo nyepesi ya ndani wakati huo abiria wenzake aliokwenda nao walikua wameruhusiwa.


Kati ya abiria wote waliokuja pamoja kwenye ndege, Madee na Mzimbabwe mmoja ndio walikaguliwa sana ila huyo mwingine alikaguliwa kidogo tu kama dakika 10 na wala hakuambiwa avue nguo.


Sehemu yenyewe Madee aliyoambiwa avue nguo sio kwenye chumba maalum, ni palepale kwenye foleni wanaposimama watu ila kwa pembeni kidogo, ni sehemu ambayo imezibwa na kioo kinacholingana na usawa wa tumbo kushuka chini…. Madee anakwambia jamaa walinong’onezana sana wakati wanamkagua.


Hata hivyo baada ya Askari hao kumuweka sana msanii huyu wa bongofleva kutoka kundi la TipTop Connection walimuomba radhi baada ya kumaliza ukaguzi wao ambao pia ulihusika kulivuruga sana begi lake.

Source: Milard Ayo 

Read More »

Jinsi Biashara ya "Utumwa wa Ngono ilivyoshamiri" katika Miji Mikubwa!!!



Habari hii kwa lugha ya kiingereza, angalia jinsi hali ilivyo huko Africa Magharibi


It will shock you how this young girls (teenagers) are turned into sex slaves in underground cartels:
"I was in JSS3 at the time, and I was too young to understand anything. So, when I became pregnant, I told my boyfriend about it, but he denied it and ran away. That was how I stopped going to school. After about two years, I came to Lagos to hustle. One aunty then introduced me to this business."
Martha is a 15-year-old girl endowed with beauty but:

She faces a very bleak future as she is held captive in a brothel in Gbagada, a suburb of Lagos, where she has to sleep with men old enough to be her father and surrender her entire earnings to a woman designated as her aunty. In return, the aunty gives Martha a sum she deems sufficient to cater for her basic needs.

The more than two decades old brothel is located close to Sawmill Bus-stop in Gbagada. In it resides a cartel of mature prostitutes called aunties, to whom younger girls like Martha are responsible. The older prostitutes act as guardians to the younger ones aged between 14 and 19 years. Most of the girls are said to have been lured to Lagos from Edo and Delta states by their aunties. With a promise of the good life, the girls follow the aunties to Lagos only to be lured into prostitution.

The cartel’s mode of operation is similar to those that have been reported about innocent Nigerian girls lured into prostitution in Europe. The girls, who are mostly from poor parental backgrounds and broken homes, serve their aunties for as long as two years before they are deemed matured enough to stand on their own.

A source in the hotel told our correspondent that for a newly recruited girl to become a member of the prostitution ring, her aunty has to pay the sum of N50,0000 to the proprietor of the brothel as registration fee. After that, the aunty makes the young girl to sleep with older men. All the proceeds from her sexual activities go to the aunty who decides how much is returned to the young girl as “pocket money”.

Our correspondent visited the hotel on a sunny day last week and met one of the girls named Martha, an indigene of Delta State. She was decked in a gown that barely covered her backside. Like a famished tigress, she rushed towards the reporter, offering him sex. After a brief discussion, she led the reporter to the brothel’s bar and was quickly joined by three of her colleagues.

Martha was the first to order for a bottle of a popular herbal drink called Alomo Bitters. With promise of a long-term friendship from the reporter, she opened up on her past and her dreams, narrating how she became a sex worker in the hotel.

Surprisingly, she doubles as an apprentice hairdresser, hoping to settle down into hairdressing business someday. But for now, she is under contract to serve her aunty for 11 more months, during which she must hand over her entire earnings.

Martha said: “My aunty is very nice. She gives me money, depending on how much I make in a day. I am from Delta State, and I am learning to become a hairdresser. I will leave next year after my service. After that, I will open a shop and become a businesswoman.”

It took her no time to finish her drink and order for another bottle. At this stage, the discussion became livelier, as the four girls freely talked about their lives as prostitutes in the brothel.

“I am very brave,” said Martha, beating her chest as she spoke. “I can take on as many men as are available at a time.”

But going by her confessions, she is an endangered species. Besides the meager nature of her income, she is daily exposed to the danger of being defrauded or physically assaulted by the men that patronise her. Only a few days earlier, she lost her cell phone, which she said she bought for N32, 000, to a client from whom she had only reaped N2,000.

She said: “The man stole my phone after paying me N2,000. I called the number and he picked it, but claimed that the phone belonged to him.”

Asked if she was not afraid of contracting HIV/AIDS, she said she had received enough lessons on how to protect herself against sexually transmitted diseases and other dangers that come with her trade. She said apart from insisting that her clients must wear condom, she had been taught not to get carried away when entertaining them.

“The first thing they taught us was that men are cunning, and that we should be very careful with them. We also go for medical check-ups regularly. But one thing is that we don’t sleep with men without condoms,” she said.

Martha is not alone in this modern day slavery. She has a partner in soft-spoken Janet, an indigene of Edo State. At 17, the second child in a family of seven says she took to prostitution because she wanted to make a success of her life.

In her barely audible voice, she said she was forced to go into prostitution because her elder sister was not discharging her responsibilities towards their parents. She is expected to gain her freedom in November, when she would have served her aunty for more than one year.

She told a pathetic story of the events that led her into prostitution, saying that unlike Martha, she plans to go back to school.

“I want to go back to school. I came here because there was nothing else for me to do. But once I finish serving my aunty, I will leave this place completely and make sure that I go back to school,” she said.

Interestingly, Janet is in the business with her cousin, 15-year-old Pat. Evidently more daring and outspoken than her two other colleagues, Pat declared that she wanted the reporter to have a relationship with the three of them. “I like you. If you no mind, all of us fit be your friend,” she said, her colleagues nodding in affirmation while she continued to do justice to the bottles of Climax energy drink in front of her.

A quick tour of the brothel revealed that it contained 54 rooms, each allocated to an aunty. While a first-time visitor would only notice the front gate and the rear gates, a closer observation would reveal other entry and exit points.

The arrangement of the rooms makes it difficult for a non-regular visitor to master the terrain. The source at the hotel said the arrangement was meant to conceal the activities of the prostitutes.

According to the source, 14 of the rooms are allocated to teenage prostitutes while the rest are occupied by their older and more experienced aunties.

At Room 19, a busty lady, probably in her 30s, sat on a stool by the door. Asked why she was idle at that time of the day, she said she was waiting for prospective clients, adding that business had been dull because of the Ramadan period.

She jumped up at the reporter’s suggestion of a deal. After a quick negotiation, she agreed to take N750, down by N250 from the N1,0000 she demanded initially.

A visit to Room 32 revealed that the occupant was one of the aunties named Faith, from Edo State. She agreed to give a younger girl to the reporter for a fee to be agreed. But she argued that she was capable of anything the younger girls could offer.

Upon the reporter’s insistence, she dashed to Room 30, where some of her girls were sleeping at the time. The lot fell on 19-year-old Sarah, who quickly went to another room to prepare the bed.

The innocent-looking girl felt disappointed when she returned moments later and was told that the reporter had changed his mind, but with a promise to come back later in the evening. She ran back into the room, ostensibly to steal a few minutes of sleep before another client would come knocking.

Such has been the lot of the young girls in the brothel. They take care of the sexual needs of their clients at night and give the proceeds to the aunties. Yet the little time they have to rest or in the day time is repeatedly punctuated by clients who stroll in, in the day.

A funny incident had occurred at the brothel the previous night. Encouraged by the hotel source, the reporter had stormed the hotel at exactly 8:30 pm, hoping to take pictures of the girls’ activities. One needed no one to tell him that one had stepped into an ‘unholy’ ground. From one room to the other, both the young and the old prostitutes showcased their ‘wares’ with skimpy dresses.

One of them named Jessica said she had been expecting a customer for more than two hours without luck. The reporter’s arrival therefore gave her the hope of making some money, which she said had been scarce since the commencement of Ramaddan. Jessica, who claims to be a mother of one, lamented the lull that had occasioned the fasting period. She also said she had been unlucky with her love life.

According to her, she had her child, who is now 11 years old, after she was put in the family way by her boyfriend. The man later denied the pregnancy, leaving her and her poor family to cater for the boy.

She said: “I was in JSS3 at the time, and I was too young to understand anything. So, when I became pregnant, I told my boyfriend about it, but he denied it and ran away. That was how I stopped going to school. After about two years, I came to Lagos to hustle. One aunty then introduced me to this business.”

But in spite of all that she has been through, Jessica insists she has no regrets about her past. “What is there for me to regret now?” she asked rhetorically.

It is now more than a decade that Jessica took the unholy path of selling her body for money, but both joy and wealth, the twin reasons she opted for prostitution, have eluded her. Rather she has had an unsettled life, with no decent home or man to call her own.

While denied having any regret, it was obvious that Jessica was not the happiest of women. Her expectations from the trade were far from being met. Unfortunately, she has no other profession to turn to.

She said: “Let me confess, I thought I would have made it more than this. At a point, I even tried to travel to Italy, but the aunty who wanted to help me stole all the money that I saved. She asked me to bring N500, 000, promising to take me to Italy. I was able to raise about N400, 000, which I gave to her. But after that day, I never saw her again. If I didn’t lose that money, I might have stopped this business by now.”

For Jessica and the other young girls in the brothel, the future looks bleak. What with their meager daily earnings, most of which they spend on feeding, medicals and fairly used clothes. Whatever is left in the end cannot guarantee the flashy lifestyle that prompted them to go into the trade.

It is no longer a secret that more than one thousand Nigerian girls are trafficked to different countries by prostitution rings in Europe every month. The unholy trade has assumed a height never seen before in the last decade, with Italy as choice destination.

However, recent investigation has shown that the crime is gradually declining in Western Europe following strict laws on illegal migration and the efforts of the National Agency for the Prohibition of Trafficking in Persons (NAPTIP).

But while the fight against the international prostitution rings may be gaining momentum, with relative success, locally-based prostitution rings are devising a model fashioned after the Europe-based rings to lure young and innocent girls into the world’s oldest profession.

Source: M.Johnson's Blog

Read More »

Rose Ndauka Ababwa Kona na Njemba, Kisha Wakaingia Hoteleni kufanya Yao.


 
Rose Ndauka  au  Aisha  anaweza  kuwa  ameitia  najisi  funga  yake  baada  ya  kunaswa akiingia  hotel  moja   iliyoko  kinondoni  jijini  Dar  kwa  kile  kilichoelezwa  ni  kwenda  kuivunja  amri  ya  sita  na  mwanamziki wa  bongo  fleva  Nassoro  Ayoub  "Nasry"   au  Tajiri Boy
 
Rose ambaye alisilimu mwaka jana  na  kupewa  jina  la  Aisha  baada  ya  kuchumbiwa  na mwanamziki  mwasisi  wa  kundi  wa  TNG Squad, Malik Bandawe, alifumwa na  kamera  za wakazi wa jirani na  hoteli  hiyo  mwishoni  mwa  wiki  iliyopita.....

Shuhuda  wa  tukio  hilo  amedai  kwamba  majira  ya  mchana  kweupe  gari  aina  ya  Toyota Mark  X lenye  rangi  nyeusi  liliwasili  kwenye  viunga  vya  hoteli  hiyo  na  kusimama  kwa  takribani  dakika  10  kisha  likaondoka  na  kwenda  kupaki  sehemu  nyingine  ambapo  ni  umbali  mfupi  toka  hotelini  hapo...
  Kitendo  hicho  kiliibua  mashaka  miongoni  mwa  watu  hasa  kutokana  na  vioo  vya  gari  hilo  kuwa  tinted  hivyo  kutowaonesha  waliokuwemo  ndani...

"Walipoondoka  na  kupaki  palipojificha  tuliamua  kuwasogelea  ili  tujue  ni  akina  nani

"Baada  ya  muda, kioo  cha  dereva  kilishushwa kidogo, tukamuona  dogo  anayefanana  na Diamond  akiwa  anampapasa  demu  aliyekuwa  pembeni  yake...

"Tulipoona  hivyo, tulidhana  mnyamwezi  ameamua  kumaliza  mambo  yake  ndani  ya  gari, hivyo  tukaziweka  simu  zetu  standby  kwa  ajili  ya  kushuhudia" alisema shuhuda  huyo

Baada  ya  muda, mlango  wa  kulia  ulifunguliwa  kisha  wakamuona  dogo  aliyetambuliwa  kwa  jina  la  Nasry

"Kumbe  hakuwa  Diamond,alikuwa  ni  dogo  Nasry.Tulipotupa  jicho  ndani, tulihamaki  kumuona  Rose  Ndauka  akibadili  nguo  na  kujitanda  baibui. 

"Nadhani  alifanya  hivyo  ili  watu  wasimjue  pindi  atakaposhuka  kwenye  gari  maana  aliposhuka  tu, waliongozana  na  dogo  Nasry  kwa  mwendo  wa  kasi  hadi  ndani...

"Toka  walipoingia  ndani  hadi  walipotoka  iliwachukua  kama  masaa  matatu  hivi.Wakati  wa  kutoka, Nasry  alilifuata  gari  hadi  mlangoni  na  kisha  Rose  akaingia  na  kutokomea"...Kilimalizia  kusimulia  chanzo  hicho

Source: GPL (KIU)

Read More »

JWTZ wadaiwa kuwateka Raia Huko Mtwara.


Mtwara/Dar. Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), mkoani Mtwara wanadaiwa kuwakamata vijana wanne na kuwapeleka kusikojulikana juzi jioni kisha jana kuwafikisha Kituo cha Polisi Mkoa wa Mtwara.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Linus Sinzumwa alikiri kukamatwa kwa watu hao: “Ni kweli tunawashikilia na tunahoji pande hizo mbili; yaani wananchi na wanajeshi kujua ukweli uko wapi.”
Hata hivyo, Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano wa JWTZ, Meja Eric Komba alisema hana taarifa hizo... “Kama ni kuteka JWTZ haliteki wananchi na kama ni kukamatwa, mimi sina taarifa ya maandishi wala ya mdomo, ndiyo kwanza nasikia kwako. Nitafute kesho nitakuwa nimeshafuatilia.”
Akizungumza kwa simu jana, Naibu Katibu Mkuu wa CUF, Julius Mtatiro alisema tukio hilo lilitokea juzi saa kumi na moja jioni wakati vijana hao pamoja na watu wengine walipokuwa wakiangalia Kongamano la Amani nchini lililokuwa likirushwa moja kwa moja na Kituo cha Televisheni cha ITV.
“Makundi ya wananchi yalikuwa yanafuatilia kongamano pale Mtwara. Wale vijana walikuwa kwenye grocery iitwayo Kwatelela inayotazamana na lango kuu la Mamlaka ya Bandari. Walishangilia kwa nguvu kuunga mkono baadhi ya hoja zilizotolewa kwenye kongamano. Karibu yao alikuwapo askari wa jeshi aliyevalia kiraia ila hawakujua hilo,” alisema Mtatiro na kuongeza:
“Kongamano lilipokaribia kwisha, askari yule aliwatolea bastola na kuwaweka chini ya ulinzi. Alipiga simu kuwaita wenzake na mara gari la jeshi lilifika wakachukuliwa.”
Mtatiro alisema amepata taarifa hizo baada ya kupigiwa simu na mashuhuda wa tukio hilo juzi jioni.
“Nimezungumza na mashuhuda wanne ambao wao wamenusurika baada ya kuwa mita chache katika eneo la tukio.” Mtatiro aliwataja vijana hao kuwa ni Ismail Nduva, Boniface Mkamale, Ismail Namwindula na Rashid Mniyanda.
Katika kongamano hilo ambalo lilihudhuriwa na wasomi, wanasiasa na viongozi akiwamo Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk Emmanuel Nchimbi,
Serikali ilitupiwa lawama katika masuala mbalimbali hasa utendaji wa Jeshi la Polisi lakini pia Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willbrod Slaa alilinyooshea kidole JWTZ kutokana na kuandamwa na tuhuma za utesaji na ubakaji huko Mtwara.
Hata hivyo madai hayo yalipingwa vikali na Brigedia Jenerali Elias Athanas aliyekuwapo katika kongamano hilo akisema: “Naomba kuweka wazi kuwa jeshi letu huko Mtwara, lina adabu na vitendo ambavyo vimekuwa vikiripotiwa ni vya propaganda tu kama alivyosema Dk Slaa.”

Source: Mwananchi

Read More »

Kanisa Lageuzwa kuwa Ukumbi wa Starehe Dar!!!


Baadhi ya picha zilizopo ndani ya ukumbi huo.
Makongoro Oging' na Haruni Sanchawa
MY GOD! Kiongozi wa Kanisa la Greek Orthodox duniani, Papa Theodor’s II ameamuru kufungwa kwa ukumbi uliopo ndani ya eneo la kanisa hilo lililopo Kiwanja Namba 7509 katika Barabara ya Ali Hassan Mwinyi jijini Dar es Salaam kufuatia kuwepo kwa picha za utupu za wanawake ukutani, Uwazi limechimbua.
Kaunta iliyopo ndani ya ukumbi huo.
PAPA THEODOR’S II ATUA BONGO
Papa huyo alifikia uamuzi huo Februari 19, mwaka huu baada ya kutua nchini ambapo alifanya mazungumzo na Rais Jakaya Kikwete.
Mbali na mazungumzo na JK, alipata nafasi ya kutembelea ukumbi huo ulio kwenye eneo la kanisa hilo ndipo ‘alikutana’ na picha za wanawake wa Kiafrika na Kizungu zikiwa zimetundikwa ukutani wakiwa kama walivyozaliwa.
Kiongozi wa Kanisa la Greek Orthodox duniani, Papa Theodor’s II.
Mbali na picha hizo za utupu, pia kulikuwa na picha ya mwanamitindo maarufu Bongo, Mariam Julius Odemba. Picha yake ilimwonesha akiwa amevaa nguo ya heshima na maandishi juu ya picha yakiwa yameandikwa; ‘Thanks British Legion for all your support. Miriam Odemba, 1st Oct 1999’.
ALIONAJE HAYO?
Imeelezwa kuwa baada ya kutua nchini, papa huyo alilala katika nyumba iliyo karibu na kanisa na klabu hiyo na usiku wakati akisali alishangaa kuwaona wanaume, tena wenye mwonekano mzuri wakiingia katika eneo hilo la kanisa akasitisha sala.
Kilichomshangaza zaidi ni kuwaona wanaume hao wakiwa na wasichana wabichi na baada ya kufika klabuni walikuwa wakipiga kelele huku muziki ukisikika kwa sauti ya juu.
Kufuatia hali hiyo, aligundua kwamba watu hao walikuwa wakinywa pombe hadi usiku wa manane jambo ambalo ni kinyume na maadili ya imani hiyo.
“Kesho yake Papa Theodor’s aliamua kutembelea ndani ya klabu hiyo ndipo aliposhuhudia picha hizo chafu nyingi zikiwa zimetundikwa ukutani na chupa tupu za vinywaji vikali.
PAPA AAGIZA KIKAO CHA KUJADILI TUKIO
“Kuona hivyo papa alimuagiza kiongozi wa Bodi ya Wadhamini wa Kanisa, Dimitri Kimon akutane na mapadri wote mwezi wa nne (uliopita) na ujadili hilo nia ikiwa ni kurejesha usafi na kuondoa uchafu huo kanisani hapo.
“Katika mkutano huo waliamua kufunga na kuomba kisha kumtafuta wakili ili aweze kuwatoa waliokuwa wakiendesha ukumbi huo,” kilisema chanzo.
Chanzo kiliongeza kuwa, Julai 8, mwaka huu viongozi hao waliamua kufunga geti la kanisa hilo na kuimarisha ulinzi kwa kutumia kampuni ya ulinzi ili kuzuia wanachama wa klabu hiyo kuingia eneo hilo isipokuwa waumini.

WALIOKODI UKUMBI WAPEWA UKWELI
Habari zinasema viongozi wa kanisa hilo waliwaambia waliokuwa wakiendesha ukumbi huo kwamba kiongozi wao mkuu hakupendezwa na picha chafu za ukutani na alihoji endapo dini nyingine zikigundua uchafu huo wataelewekaje kwa jamii?
HAWA NDIYO WANACHAMA WA UKUMBI HUO
Kuna madai kwamba wengi waliokuwa wakiingia kwenye ukumbi huo ni vigogo katika ngazi ya mawaziri na wabunge ambapo waandishi wetu walibahatika kuona jina la mbunge mmoja likiwa limeorodheshwa katika kitabu cha waliokuwa wakiingia.

KUNA HATARI YA KUFIKISHANA MAHAKAMANI
Mwanachama mmoja wa klabu hiyo ambaye hakutaka jina lake kuandikwa gazetini kwa madai kuwa si msemaji, alisema wanakusudia kufungua kesi mahakamani ili kupinga adhabu ya kufungwa ukumbi huo kwa kuwa wapo eneo hilo kwa muda mrefu.
“Sisi tupo katika eneo hili na tumefanya shughuli zetu siku zote hizo, tunashangaa leo kuona kanisa linatufungia geti. Ni lazima tutachukua hatua za kisheria,” alisema mwanachama huyo.
MAWAKILI WA PANDE ZOTE WAZUNGUMZA
Gazeti hili lilimpata wakili wa kanisa hilo ambaye pia ni Katibu Myeka, Edward Chuwa alipoulizwa kuhusu mgogoro huo alikiri kuwepo.
“Ni kweli kuna huo mgogoro kati ya kanisa na waendesha klabu hiyo lakini kwa kuwa mimi ni wakili naomba nisiseme chochote kwa sababu za kimaadili,” alisema Chuwa.
Naye wakili wa waendesha klabu hiyo, Evodi Mmanda alipopigiwa simu na kuulizwa kuhusu mgogoro huo naye alikiri kuwepo.
“Mgogoro huo naujua lakini kwa kuwa mimi ni wakili wao siwezi kusema chochote kutokana na maadili ya kazi yangu.” alisema Mmanda bila kusema ni lini kesi hiyo itasikilizwa.


source: GPL

Read More »

Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger