--> -->
Mwangalie Mpenzi wake Chriss Brown akiwa amevaa gauni lenye mandhari ya shati refu, kama anavyoonekana katika picha akiwa katika tamasha huko Nchini Ufaransa.
Read More »
--> | Silaha hatari kama kawaida yao wakianza taratibu.....Mpera Mpera tu hadi kieleweke'' |
| Haya sasa ni mwendo wa nyoka nyoka tu....... wataelewa sasa hivi au wataelewa baadae...? |
| Rama Mpauka akimseti roboti wake |
| ikafika time ya the prezident kuingia........ |
| Nikistaajabishwa na shangwe na umati wa watu waliokuwa wamefurika uwanjani pale pale tu nilipotokea uwanjani |
| ....hapo sasa yanii....afe kipa afe beki lakini ushindi lazima.... |
| Kaskazini mwa uwanja wa ccm kirumba umati wa watu waliofurika wakishuhudia amsha amsha ya wasafi |
| nimpende nani sasaaa...........??? |
| Aya sasa....Nilikuwaga na nani zamani.....???? Alafu akafanyaje.....?? Leo nataka mtoto wa mwanza kunitibu maradhi nayougua |
| hakika nilikumbuka kigoma............ |
| siwasikii..etiii?? |
Though inachekesha lakini hebu vuta picha ndo mkeo kashafikia hatua ya kuvaa size kama hiyo, basi kaka yangu jiandae kwa mengi, miongoni mwa hayo ni ugomvi na wanaume wenye macho kodo, gharama za ziada za usafiri ili kujilinda na mengine kibao.
Yule muigizaji asiye na haya wa picha za ngono huko Nigeria, maarufu kama Afro Candy, ameandika katika Twitter Page yake kwamba anahitaji wadau wapige picha "MAUMBILE YAO" na kisha kumtumia huku akiwatahadharisha watu kutopiga picha "Dudu" za wengine kwani utapohitajika kwa ajili ya usaili halafu wasione kilichokuwa katika picha itakuwa tabu.
Mwandishi mmoja wa habari huko India amejikuta katika wakati mgumu huku akitupiwa shutma na lawama kutoka makundi mbali mbali kwa kitendo chake cha kutoa taarifa ya mafuriko ambayo yameathiri watu zaidi ya 1000 na kuwaacha bila makazi huko India huku akiwa juu ya mabega ya mmoja ya waathirika hao. Katika utetezi wake mwandishi huyo amesema haikuwa dhamira yake na kwamba Mhanga huyo alijitolea mwenyewe kumbebe ikiwa ni sehemu ya kuonesha shukrani kutokana na msaada aliopewa na mwandishi huyo huku akitaka kuuonesha ulimwengu Madhara ya Mafuriko hayo hasahasa nyumbani kwake.
Wiki iliyopita, msanii wa Dance hall, Mkali D'Banj alipata fedheha ya aina yake alipokuwa akifanya show katika concert moja huko Lagos baada ya kumlazimisha mwanadada mmoja mrembo kucheza nae, baada ya mkali huyo maarufu kama Koko Master kumfuata mrembo huyo huku akidhania dem huyo atajirahisi, mrembo huyo alimtosa kiana jamaa, jamaa kuona hali inakuwa ngumu akamvuta dem stejin, hata hivyo fedheha hiyo iliongezeka mara dufu baada ya kupanda Njemba nyingine na Kumchukua mrembo huyo huku akisisitiza kuwa yule ni mke wake na jamaa D'Banj aangalie ustaarabu mwingine.
Hali ya Afya ya kiongozi wa Africa ya Kusini Mzee Nelson Mandela bado si shwari tangu alipolazwa tarehe nani mwezi huu akisumbuliwa na matatizo ya mapafu. Kutokana na kuzidi kudhohofika kwa afya ya Nguli na Mlezi wa Taifa hilo lenye maendeleo zaidi Kusini mwa Jangwa la Sahara, Imemlazimu Kiongozi wa Nchi hiyo Mzee Jacob Zuma Kuahirisha ziara yake ya nchini Msumbuji ambako alitakiwa kuwa msemaji katika kikao cha Masuala ya Miondombinu cha SADC Huko Maputo.Hali ya Afya Mzee Mandela mwenye umri wa miaka 94 imezidi kuwa mbaya ndani ya masaa 48 yaliyopita kiasi cha kuwaweka raia wa nchi hiyo tayari kwa lolote.
Mwanamke mmoja Mkazi wa Beijing amefikishwa hospitalini baada ya kupasuka kwa moja ya ziwa(titi) lake ambalo aliliongeza kwa teknolojia ya kisasa. Mwanamke huyo amekutwa na mkasa huo baada ya kulaliatumbo lna matiti hayo kwa muda wa zaidi ya saa 4 huku akiwa anacheza game katika simu yake ya kiganjani. Mwanamke huyo tayari amefikishwa hospitalini kwa ajili ya upasuaji huku juhudi zikiangaliwa katika kumrejeshea heshima yake ya kifuani tena.
Tukio hili limetokea huko Nigeria ambapo binti anayesemekana ni wa mwaka wa kwanza alikwenda kutembea katika hostel za wenzake na alipopata mwanya akaiba simu aina ya Black Berry. hata hivyo baada ya mwenye simu kushtuka binti huyo aligoma kuichukua simu hiyo na ndipo watu walipoamua kuipiga na kuanza kuita ikiwa sehemu za siri. Baada ya tukio hilo wavulana kutoka vyumba vya pembeni walikuja na kumsachi huku wakimvua nguo, hakuwa na la ziada zaidi ya kuwa mpole wakati watu wakimpiga picha hizo za aibu.
Ule usemi unaosema ng'ombe hazeeki maini umejidhihirisha juzi pale Mzee mmoja wa umri wa miaka 60 alipofumwa akijiachia na ka binti ka miaka 17 ndani ya gari. Mzee Opanyin Kofi Appiah alikamtwa baada ya kupatikana ushirikiano wa kutosha toka kwa wananchi wa maeneo ya Kwadaso Beposo walikuwa wakifuatilia nyendo zake baada ya kuvuja taarifa zake za kuwa na mahusiano na mabinti wadogo.
Onyinyechi Orakwuelum alikuwa akisheherekea siku yake ya kuzaliwa na alikuwa akitimiza umri wa miaka 18. Hata hivyo siku hiyo ambayo huwa ni ya furaha miongoni mwa binadamu wengi, imegeuka na kuwa ya majonzi na matatizo baada ya mwanadada huyo kuwa anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumuua Kijana ajulikanaye kwa jina la Ayobami, ambaye binti huyo anadai alidhamiria kumbaka na katika kujitetea kwake alifanikiwa kumpiga kisu na kujisalimisha mwenyewe polisi.
--> Haya sasa, hiyo ni list fupi ya watu maarufu tu ambao bibie Kim, mzazi mwenzie Kanye west amewahi kuwa nao au kutembea nao. Sijui kwa wale ambao si maarufu maana kwa hapo tu idadi inafikia kama 22 hivi, angalia mwenyewe.
Jeremy Forest amehukumiwa kifungo cha miaka 5 na nusu jela baada ya kukubali mashtaka yaliyokuwa yakimkabili mwalimu huyo wa Hisabati, Mwalimu huyo wa miaka 30 amehukumiwa kwa makosa ya kumteka binti wa miaka 15 kisha kutoroka nae na kukimbilia Ufaransa ambapo waliponda raha za dunia kwa siku 8. Jana akiwa mahakamani hapo jamaa alithubutu kumwambia binti huyo " i love you" na binti akajibu " i love you too, im so sorry"
Kizimbani kwa kosa la "KUMKABA" mwenza wake!!
Raha ya " Baikoko" Mambo ya Tanga hayoo!! Picha na Video
Angalia Picha na Video ya Diamond na Pasha Katika Uzinduzi wa Msasani Mall
Dr. Mvungi avamiwa na majambazi na kucharangwa mapanga usiku
Angalia Jeuri ya Fedha, Aliyoifanya Diamond, $ + Gold
ANGALIA PICHA 5 ZA WANAFUNZI WA HOSTELI WAKIJIACHIA BAADA YA KUWA MBALI NA WAZAZI WAO
Upepo Unapomuumbua Amber Rose
Criss Brown kwenda jela miaka 2
Wema Ashauriwa Kupunguza Kiingereza kingi katika kipindi chake cha TV
Mwanamke avamiwa na kundi la vijana kisha kuchaniwa nguo alizovaa!!