Fashion Week ya Rio Brazil, Aibu Tupu.

Angalia Collection ya Triya, katika Rio de Jeneiro 2013







Summer Collection. picha za fashion week iliyofanyika huko Rio Brazil ambako ambako walionesha kuongeza ubunifu.

Read More »

Mwalimu wa kike aliyelazimisha mapenzi na wanafunzi wake ahukumiwa.




Mwalimu wa kike Ashley Anderson (24) katika shule ya Iowa High, huko marekani amejikuta hatiani baada ya kukiri mashtaka ya kuwarubuni wanafunzi wanne wa kiume kwa nyakati tofauti na hatimaye kufanya nao mapenzi. miongoni mwa mbinu hizo ni kuwatumia sms na picha zake akiwa hana nguo kupitia simu. kasheshe hilo limemkuta baada ya kuzuka mzozo na baadhi ya wapenzi wake hao akiwalazimisha kuzifuta ili awalipe.


Read More »

Gwyneth Paltrow atia fora na kivazi chake


Mwanadada Gwyneth Paltrow (40), ametia fora baada ya kuingia na gauni liliokuwa wazi upande wa pembeni na kumfanya aonekane kama hajavaa kitu. kituko hicho kimetokea wakati wakizindua Movie mpya ya Iron Man 3 ambayo ameigiza kama mwanadada mahiri na komandoo. Kutokana na kivazi hicho baadhi ya wachambuzi wa mambo wamesema hakustahili kupewa tuzo ya mwanamke mzuri siku chache zilizopita.





-->



Read More »

Nyuma ya pazia katika utengenezaji wa video ya kufurahisha ya "Dance along"








Read More »

Baada ya Kumg'ata Mchezaji mwenzie, Suarez akiri makosa.


-->
"Kweli nimejiharibu" hiyo ndo kauli ya mshambuliaji wa Liverpool Luis Suarez ambaye F.A wamemfungia kucheza mechi kumi(10) na kutakiwa kulipa faini kwa kitendo chake cha kumng'ata mshambuliaji waChelsea Branislav Ivanovic. Kutokana na tukio hilo mshambuliaji huyo wa Liverpool ambaye amesaini mkataba mpya hivi karibuni na timu yake atazikosa mechi nne za ligi zilizobaki pia hatarudi uwanjani hadi mwezi wa kumi mwaka huu.



Read More »

Vurugu Chuo cha Uhasibu Arusha na Liwale.

Liwale/Arusha. Uharibifu mkubwa wa mali ulifanywa juzi usiku Mjini Liwale, Lindi baada ya wananchi wenye hasira kuchoma moto nyumba za viongozi waandamizi, makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya na maghala ya mazao kutokana na kuchukizwa kushushwa kwa bei ya korosho.
Nyumba zilizochomwa moto ni za Mbunge wa Liwale (CCM), Faith Mtambo, Mwenyekiti wa Chama cha Msingi cha Umoja, Hassan Myao na Makamu wake, Hassan Mpako, Diwani wa Viti Maalumu (CCM) Liwale, Amina Mnocha, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale, Abbas Chigogola ambaye pia ng’ombe wake tisa walikatwakatwa mapanga na kuachiwa ndama watatu.
--> Nyingine ni nyumba ya Mwenyekiti wa CCM wa Wilaya ya Liwale, Mohamed Ng’omambo, Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Lindi, Mwenyekiti wa Chama cha Msingi Minali, Mohamed Limbwilindi na Katibu wa chama hicho, Juma Majivuno.
Wakati hayo yakitokea Lindi, huko Arusha, vurugu kubwa za wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu zilizuka jana baada ya kuuawa kwa mwanafunzi Henry Kago (22), juzi usiku.
Kago, ambaye alikuwa mwanafunzi wa mwaka wa pili, anadaiwa kuwa alifariki juzi saa nne usiku baada ya kuchomwa kisu na watu wasiojulikana, akiwa njiani eneo la Kanisa la Wasabato akitokea chuoni hapo kujisomea.
Ghasia za Liwale
Ghasia hizo zilianza juzi mchana katika Kijiji cha Liwale B na ziliendelea usiku kucha hadi jana asubuhi.
Watu walioshuhudia ghasia hizo walisema chanzo ni wakulima kudai kulipwa Sh600 na siyo Sh200 za mauzo ya korosho kwenye Chama cha Msingi Minali.
Bei ya kilo moja ya korosho waliyokubaliana wakulima na chama hicho ni Sh1,200 na mara ya kwanza kiliwalipa Sh600 kwa kilo na kuahidi kulipa nusu nyingine baadaye.
Hata hivyo, viongozi wa Ushirika walibadili uamuzi na kulipa Sh200 kwa maelezo kuwa mauzo hayakuwa mazuri kitendo ambacho kiliwakasirisha wakulima hao ambao waligoma kupokea fedha hizo.
Baadaye ilielezwa kuwa viongozi wa Minali walipeleka fedha hizo polisi ili malipo yafanyike huko, lakini ghasia zikaibuka na wakaamua kusitisha malipo hayo na ndipo wananchi wakaamua kuingia mitaani.
--> Mmoja wa mashuhuda alisema “Polisi walijaribu kuwadhibiti watu hao, lakini walipoona wanazidiwa nguvu, wakawaachia wafanye wanavyotaka ndiyo maana kumekuwa na uharibifu mkubwa.”
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi, George Mwakajinga alisema kwa kifupi: “Hali imetulia na vurugu zimemalizika lakini bado tuko kwenye kikao kuzungumzia suala hili.”

Source: Mwananchi.

Read More »

Madrid Miguu juu kwa B. Dortmund

--> Jana katika Ligi ya Mabingwa wa Ulaya Limeshuhudiwa Mechi la kukata na shoka Baina ya Real Madrid na Borussia Dortmund ambapo mpaka dakika 90 za mchezo Vigogo wa Madrid walikuwa wamelala kwa goli 4 kwa 1.
-->

Read More »

Aliyemdhalilisha Askari wa Usalama Barabarani Aswekwa Rumande

--> Siku ya juzi maeneo ya mwenge jamaa mmoja mwenye mwili mkubwa alifanya tukio la ajabu pale alipompokonya Askari wa Usalama Barabarani Ufunguo wake wa gari na kumnyonga mkono huku akijijua kufanya hivyo ni kosa kisheria na kamera za kituo cha ITV zilikuwa zikimwonesha. Taarifa zinamnukuu Kamanda wa Polisi wa Kanda ya Kinondoni akisema ya kwamba jamaa huyo amekamatwa na yupo kituo cha polisi Cha Salander Bridge akisubiri kufikishwa mahakamani.

--> Video ya Tukio zima hii hapa chini.


Read More »

Mama Yeyoo- Gnako ft Ben Pol

-->
Read More »

New Video - Mr Nice Ft DNA

Ujio wangu
-->

Read More »

Video Mpya - Madee

--> Cheki hapo video mpya ya madee nani "kamwaga pombe yangu"

Read More »

Raisi Atoa Masaa 24 kwa "Mashoga" Kuondoka Nchini

--> Uamuzi huo ummfanya Raisi wa Gambia Yahya Jammeh kuonekana ana sera kali zaidi ya zile za Iran. Amesema ya kwamba Nchi yake ina misingi ya maadili na imani hivyo hawawezi kuvumilia tabia za kishenzi zikiendelea nchini humo. mwezi wa pili mwaka huu raisi huyo aliwafanya wenye tabia kama hiyo kukimbia nchi jirani na kuomba hifadhi pale alipowafunga wanandoa wawili wa jinsia moja.


Read More »

Mwanamke Ajinyonga Baada ya Kunyimwa Unyumba na Mumewe

Mwanamke mmoja Raia wa Zimbwambe amajinyonga na kamba baada ya kunyimwa mapenzi na mumewe kwa muda mrefu. Mama huyo afahamikaye kama Muhlava Muhlabiza kutoka kijiji cha Chigalo (64) alikutwa na umauti huo baada ya mumewe kurudi safarini na akijua ni zamu yake ya kupata haki hiyo ya tendo la ndoa ndipo mume huyo alipoghairi na kwenda kulala na mke mwingine, kitendo ambacho kiliumiza moyo wa mama huyo na kuamua kutokomea msituni na kujinyonga. --> Baada ya kupita kama saa moja mume wa mwanamke aliamua kutoka na kwenda kumgongea ndani kwake kwani alitishia kujiua na kusema ya kwamba mume huyo amemchoka na ndi[po alikuta kimya kimetawala na kuwataarifu watu ambao baada ya kuuvunja mlango hawakumkuta hadi kesho yeka walipata taarifa toka polisi kuhusu kupatikana kwa mwili wake msituni.


Read More »

Wauza Miili yao na wateja wao wakamatwa Ndani ya Chumba Kimoja

Kwa tukio hili, vijana wa mjini wanasema; kimenuka! Hivi karibuni wanawake watano ambao majina yao hayakuweza kufahamika mara moja walinaswa usiku mnene wakifanya mapenzi na wanaume wawili kwenye chumba kimoja kilichopo Mwananyamala jijini Dar.

Watu hao walinaswa katika oparesheni kabambe iliyoongozwa na Kamanda Mkuu wa Polisi wa Wilaya ya Kinondoni, OCD Wilbroad Mtafungwa pamoja na Ofisa wa Oparesheni, Inspekta Jacob Swai.
Katika zoezi hilo, polisi walivamia kambi kuu inayotajwa kusheheni wanawake wanaojiuza iliyopo Mwananyamala A ambapo ‘wauza sukari’ hao hutumia vyumba vyao kufanya ufuska huo.

-->


Polisi hao walipofika kwenye chumba kimoja kilichopo eneo hilo, walikumbana na upinzani mkubwa wa watu waliokuwa ndani na baada ya kufanikiwa kuufungua mlango, waliwakuta wanawake watano na wanaume wawili wakiwa kimahaba.
Mbali na hao, polisi walifanikiwa kuwanasa wanawake wengine kwenye vyumba vyao na baadhi mtaani wakijiuza ambapo walipewa kibano cha hali ya juu.
Imeelezwa kuwa, wanawake hao wamekuwa na tabia ya kujiuza na wakati mwingine hukubali kufanya mapenzi na wanaume zaidi ya mmoja, hali ambayo ni hatari sana.
Mkazi mmoja wa eneo hilo, Husein Juma alisema: “Kwanza tunampongeza Kamanda Mtafungwa kwa operesheni hii, wanawake hawa wamekuwa ni tatizo kwani wamekuwa wakijiuza waziwazi na kutupa ovyo kondomu.
 Naye Inspekta Swai alisema wamekuwa wakipokea malalamiko kutoka kwa wananchi wa eneo hilo wakaona ni vyema kuyafanyia kazi ambapo waliwakamata zaidi ya watu 35, wanawake kwa wanaume wanaohusika.

Read More »

Rihanna ajiachia baada ya X-Girlfriend wa Criss Brown kujitupia na picha za utupu mtandaoni

--> --> Kama anavyoonekana katika picha mwanadada Rihanna amekutwa akijiacha alipokwenda kula vacation huko miami, staa huyo mwenye kawaida ya kuachana na kurudiana na mpenzi wake wa muda mrefu, Criss Brown. Rihanna bado hajarudi katika afya yake baada ya kuahirisha ziara yake ya "Diamonds" kutokana na kuugua, hata hivyo ameonekana mwenye afadhali baada ya kutoka kwa daktari bingwa wa Surgery huko.
Read More »

Filamu ya Ngono ya wanaume ya "Kinajeria" yavuja

--> Bado lile jinamizi la kuichafua tasnia ya filamu nchini Nigeria linawaandama, maana baada ya maumivu ya siku chache zilizopita kufuatia kuvuja kwa picha za Ngono za baadhi ya wasanii maarufu wa kike nchini humo kazi imehamia kwa wanaume sasa, nao wamerekodi mkanda wao na upo mtandaoni, unaitwa Pregnant Hawkers. Videos ipo You tube.
Read More »

"VIDEO" ya wafanya Ng0n0 waliogandiana Kenya

-->
Leo katika kupitia laptop ya rafiki yangu nimekuta video hii, nikaona kwa wale ambao hawakuwahi kuiona inatoa funzo na tahadhari ya kutosha kuhusu suala zima la zinaa na hasa kutumbea na wake za watu, sina nia ya kuwatamanisha au kuwadhalilisha hawa wahusika kwani kiukweli wamejidhalilisha wenyewe.

Read More »

"Mauno" ya Aunt Lulu Yamzimisha Njemba Shughulini

-->
Mwanadada Lulu Mathias Semagongo Juzi juzi alimfanya jamaa mmoja kuzimia katika harusi ya bibie jack baada ya mwanadada huyo kukata kiono mpaka jamaa akapatwa na kizunguzungu na hatimaye kudondoka chini na kuzimia. Kioja hicho kilichovuta hisia za wengi kilitoka baada ya mwanadada huyo aliyebeba mzigo wa maana alipoamua kufanya kweli katika sherehe hiyo na ndipo miongoni mwa njemba zillizokuwepo hapo kuamua kuunga tela...... huku akiwa na sahani yake ya chakula mkononi mara "puuuh" chiniiii.-->

Read More »

Udaku Wa Magazetini

-->


Read More »

Sinta, Dida na Mange ndani ya Bifu zito.

--> Kama mdau wa mambo ya udaku nakuomba tembelea blog ya www.irenemwamfupejamii.blogspot.com na www.Sintah.com utajionea mwenyewe jinsi gani warembo hawa wanavyotafutana na siku si nyingi watatoana macho hapa mjini. miongoni mwa articles zilizomo ni hii ya Mange" I THINK WENGI WETU TULIAMUA KUMU IGNORE TU HUYU MBWA KOKO......KAMA MIMI NDO KABISAAAAA YANI NILIKUWA NISHASEMA NGOJA NIFANYE KAMA HAYUPO HAI...... JAMANI
KILA SIKU LAZIMA ANITUKANE KWENYE COMMENTS ZAKE? NILIM CONTACT KISTAARABU NIKAMWAMBIA SINTA ACHANA NA MIMI, SIKUJUI TUHESHIMIANE, ILA WAPI JITU HALIELEWI.
SIJUI BLOG YAKE HAINOGI BILA KUMTAJA MANGE KIMAMBI. ALAFU UKILIAMBIA ETI LINASEMA SIO MIMI NAWEKA COMMENTS NI ADMINISTRATOR. SURA KAMA ADMINISTRATOR UNA HELA YA KUWEKA ADMINISTRATOR WEWE. MFYUUUUU.....

MIJITU MINGINE BWANA, YANI LAST WEEK NILIBOREKA KIDOGO NKAMZABUE VIBAO. JITU LINAJUA KABISA STORY NI ZA UONGO SASA ANAWEKA COMMENTS ILI IWAJE? BORA HATA BASI ANIFATE FATE MIMI, SOMETIMES ANAWEKA HATA COMMENTS ZA KUTUKANA
WATU AMBAO HATA HAWAJUI JUST BECAUSE HAO WATU WANA ISSUE NA MIE. YANI LAST WEEK NILISEMA NGOJA NKAMZABUE MABAO TUTAHESHIMIANA NIKAPELEKWA HADI KWAKE KANAKAA SINZA PALE BAMAGA, YANI HAPO ANAPOKAA TU NILIMUONEA HURUMA. NKAONYESHA NA HICHO KIBIRITI CHAKE ANACHOENDESHA, YANI NIKASEMA MASKINI YA MUNGU ADHABU TAYARI ANAYO SINA HAJA HATA YA KUMUONGELESHA....KHA!!!
WATU MNAAMBIWA MASHAUZI YANATAKA PESA HAMSIKIIII, MTU UNAJISHAUA WAKATI HUNA MBELE WALA NYUMA, UUNACHEKESHA WALIONUNA TU.UNAJISHAUA NA VINGUO VYA MTUMBA??? MFYUUUUUU, SHENZI KABISA....YANI NAONA HATA AIBU NIMEKAA HAPA NAANDIKA ARTICLE YA YULE MJINGA. ILA LAKINI MTU HAONI KWAMA ANAKUWA IGNORED, KILA SIKU ANANITUKANA ON HER BLOG BUT I IGNORE HER, HATA SIKU MOJA HUWEZI KUKUTA COMMENTS ZA YULE SINTA. HAJIULIZI KWANINI? ANAJIFANYA ANAJUA KUONGELEA MAMBO YA WATU YAKE TUKIONGELEA HAPA TUTAYAMALIZA?
SINTA KUBALI MAISHA YAKO, WEWE NI MTANZANIA WA KIMA CHA CHINI THATS UR STATUS NA SIO MBAYA ,JUST JIKUBALI UNACHEKESHA SANA UNAPOANZA KUTAKA KUWA MATAWI WAKATI YOU DONT HAVE ANYTHING.
HUYU NYAU ALIKUTANA NA MDOGO WA RAFIKI YANGU KWENYE NDEGE ON HER WAY TO UGANDA. KATIKA MAONGEZI HUYO MTOTO AKAMWMABIA AMEFIKIA SERENA HOTEL NA BABAKE. BASI SINTA ASIENDE HADI SERENA HOTEL KUMFATA HUYO MDOGO WA RAFIKI YANGU, ETI NAOMBA KWENDA CHUMBANI KWAKO NIKAPIGE PICHA NIWEKE KWENYE BLOG. HIVI HUYU MTU ANA AKILI KWELI??? JAMANI KAMA HUKUBARIKIWA KUWA NA MAISHA YA JUU EMBU YAKUBALI YAKO TU.
WEWE SINTA KUTAKA KUSHINDA NA MANGE KIMAMBI NI SAWA NA KONDOO ATAKE KUSHINDANA NA SIMBA...CHIEF UTAKUWA UNATANIA....
YOU WILL NEVER BE ME, HATA KARIBU YANGU HUTOFIKA UTAKACHOWEZA KUFANYA NI KUNITUKANA KWENYE COMMENTS ALAFU UJIDAI ETI NI WATU WANANITUKANA....
MBWA MKUBWA MTU SINA BEEF NA WEWE, SIJAWHAI KUGOMBANA NA WEWE, UNANIFATAFATA NINI ?????? NISHAKWAMBIA KISTAARABU MARA MIA KIDOGO HUSIKIIII... ILA UNACHOKITAFUTA KWANGU UTAKIPATA... TENA SHUKURU SIKAI DAR ,
MAANA NIKIJA DAR NIPO BUSY KUTAFUTE MAHELA STAKI KUPOTEZA MUDA POLISI LA SIVYO NGEKUWA NISHAKUTENGUA KIUNO NYAU WE.

HIVI NA NYIE KINA DIDA NA WENGINE MNAOSUMBULIWA NA HUYU PANYA HIVI MNASHINDWA KUMFUNZA ADABU MTU MNAISHI NAE HAPA HAPA TOWN. SIKU MOJA MKAMATENI MUMPE KIBANOO MUMTOE NA NGUO MUMPIGE PICHA MNITUMIE NIWEKE HUMU....
ALAFU MUMFANYIE NA KITU MBAYA MAANA HUYU NAHISI ANASUMBULIWA NA NYEGE TU....HIKI KIHEREHERE ALICHONACHO NI NYEGE ZINAMSUMBUA...ANACHOKITAFUTA ATAKIPATA VERY SOON...." 


Read More »

Mwanafunzi UDSM ajinyonga hadi kufa

Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) mwaka wa pili Kitivo cha Sheria, Joseph Bernadina (25), amejinyonga kwa kutumia kamba na kukutwa ameifunga juu ya mti, katika eneo la Yombo chuoni hapo.

Makamu Mkuu wa Chuo hicho, Utawala, Profesa Yunus Mgaya, alithibitisha  kutokea kwa tukio hilo na kwamba alipata taarifa hizo jana asubuhi.

Aliongeza kuwa Jumamosi iliyopita alipokea simu kutoka kituo cha polisi cha chuo hicho akielezwa kuwa kuna mwanafunzi alitishia kujiua, lakini aliwahishwa hospitali na kupatiwa ushauri kutoka kitengo maalum cha washauri wa chuoni hapo na kuruhusiwa Jumapili.

“Nilikuja tena kushituka leo asubuhi napokea simu kutoka kwa mshauri wa wanafunzi kuwa kuna wanausalama wamemkuta mwanafunzi akiwa amejinyonga juu ya mti huku akiwa na karatasi kwenye mfuko wa sharti ikimtambulisha pamoja na ujumbe uliosema, kifo chake kisihusishwe na mtu yeyote kwani amejiua kwa ridhaa yake --asisumbuliwe mtu yeyote kwani nimefanya hivi kwa maamuzi yangu mwenyewe pia nizikwe kwetu--” alisema.

Profesa Mgaya alisema taratibu za mazishi zinaendelea kufanywa na Uongozi wa chuo kwa kushirikiana na ndugu wa marehemu na kwamba Chuo kitagharamia kuusafirisha mwili kama alivyoomba katika ujumbe aliouacha wa kupelekwa wilayani Ludewa Mkoa wa Iringa.

Read More »

Machangu wajiuza karibu na nyumba ya Waziri Mkuu







--> KWELI ni aibu kwa taifa kama la Tanzania, lenye ulinzi uliotimia lakini ni ajabu sana kuwaona wanawake wanaoishi mjini kwa kutegemea biashara haramu ya kuuza miili ‘machangudoa’ wamefikia kuifanya jirani kabisa na makazi ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Mizengo Pinda.

WANASWA NA MAPAPARAZI
Wiki iliyopita, mapaparazi wetu  waliwanasa machangudoa hao wakiwa wanazurura kwenye Barabara ya Kenyatta inayopita mbele ya makazi ya waziri mkuu takriban mita 80 kutoka barabarani kwa lengo la kujiuza.
Ili kulijua hilo kwa undani, mapaparazi wetu walijifanya wateja kabla ya kuwapiga picha ili kuweza kuzungumza nao mawili matatu kuhusu kuwepo eneo hilo lenye heshima zake.
Mmoja wa ‘wauza sukari’ hao aliyejitambulisha kwa jina la Hawa, mkazi wa Kinondoni, alikiri yeye na wenzake kufanya biashara hiyo kwenye eneo hilo.
“Ni kweli mimi na wenzangu tunapiga kambi eneo hili, huwa ikifika usiku tunaanzia kule Coco halafu tunakuja hadi huku, lakini mbona maswali mengi, unataka tufanye biashara kama vipi sepa,” alisema changu huyo akianza kupandisha jazba.

WATEJA WAO WAKUBWA NI HAWA
Kikubwa walichokiongea machangu hao walisema barabara hiyo yote hupitwa na viongozi wakubwa na wafanyabishara ambao baadhi yao ni wateja wao wakubwa. Wakasema hawamwamini sana mteja anayekwenda na Bajaj au Bodaboda kwa vile wanasumbua kutafuta eneo la kufanyia ngono.
“Wateja wetu wengi ni wale tunaomalizana ndani ya gari, hawa wa Bajaj na Bodaboda wengi wanataka kwenye majani, ni rahisi kukamatwa na polisi wa doria,” alisema changudoa mwingine aliyejitambulisha kwa jina la Suzy lakini hakuwa tayari kutaja yaliko makazi yake.

CHAKUJIULIZA SASA
Inakuwaje wauza miili hao watanue eneo ambalo kimazingira linapitiwa na viongozi mbalimbali wazito kama vile mabalozi wa nje waliopo Tanzania, mawaziri, akiwemo waziri mkuu mwenyewe ambaye ni jirani kabisa na makazi yake?

ASKARI WAPO WAPI?
Yapo madai kwamba, askari wanaovalia mavazi ya kiraia ambao wanapaswa kuhakikisha usalama wa eneo lote la Coco Beach wanakaushia matendo hayo kwa kile kinachodaiwa wanapozwa na kitu kidogo.
“Askari wapo, lakini sema baadhi yao wanatufahamu, kwa hiyo ikitokea na sisi mambo yetu yamekaa vizuri tunachekiana,” alisema Suzy.


Source:gpl

Read More »

Msanii Maringo Saba Anywa Sumu!!

--> Msanii wa vichekesho vya "Mizengwe" kupitia kituo cha ITV amelazwa katika hospitali ya Mwananyamala baada ya kunywa sumu akiwa na nia ya kujia baada ya kumfumania mkewe akivinjari na rafiki yake wa karibu. Udaku unaelezwa kuwa maringo aliwawekea mtego siku nyingi nz arobaini yao ilikuwa imefika wiki iliyopita ambapo baada ya tukio la kuwafumania na mkewe kuamua kula kona jamaa akaona bora ajiue.

Read More »

Dereva Aliyemgonga Askari na Kumuua Papo Hapo Kortini

DEREVA anayetuhumiwa kwa kesi ya kusababisha kifo cha askari wa usalama barabarani, Koplo Elikiza Nnko, Jackson Steven Simbo (pichani) amefikishwa mahakama ya Kinondoni, Dar, Machi 26,  mwaka huu na kuzua jambo kortini.
Mtuhumiwa huyo baada ya kupata dhamana alikwenda ofisini kwa maofisa wa mahakama hiyo na kubadili shati kwa kile kilichoelezwa kuwa ni kuondoa nuksi ya kulala rumande kwa siku 8.
Jackson anakabiliwa na makosa matatu,   kusababisha kifo cha Koplo Elikiza, kuendesha gari kwa mwendo kasi na kuingilia msafara wa kiongozi na kushindwa kujisalimisha polisi hadi alipokamatwa. Kesi hiyo itatajwa tena Aprili 15, mwaka huu.

Source:gpl

Read More »

Eti Isha Mashauzi anatumia Madawa ya Kulevya!



-->




Hatimaye mamaa Isha Mashauzi, mkurugenzi wa bendi ya mashauzi classic amefunguka na kukanusha ya kwamba anavuta bangi, badala yake amesema ya kuwa hupata faraja toka kwa vinyaji vikali na mirungi hasa akiwa anataka kupanda stejini, na kwa vile hana mume wala mtoto basi hizo ndo kampani zake kwa sasa.

Read More »

Milioni 13 za Wema Sepetu zamrudisha Kajala Uraiani.


-->


Msanii wa filamu za kitanzania Kajala Masanja ameachiwa huru leo mchana baada ya Msanii mwenzie WemaSepetu, kumlipia Faini ya Shilingi Milioni 13 na kumfanya asiende kutumikia kifungo cha miaka mitano jela. Kajala ambaye alihukumiwa akiwa na mumewe ambaye yeye ameenda kutumikia kifungo cha miaka saba jela kutokana na kupatikana na hatia ya kesi iliyokuwa ikiwakabili ya utengenezaji wa fedha haramu. Katika mahojiano na kituo kimoja cha radio nchini, Wema amesema kwamba anajisikia kama shujaa fulani kwa msaidia rafiki yake huyo na ilimchukua kama masaa mawili hivi kumaliza kila kitu.


Read More »

Chinua Achebe Afariki Dunia

Profesa Mahiri na mtunzi wa kitabu cha "Things Fall Apart" Chinua Achebe amefariki dunia. Mwandishi huyo maarufu toka Afrika Magharibi amefariki nchini Marekani alipokuwa akiishi baada ya kuugua kwa muda kidogo. Mpaka umauti unamfikia alikuwa akifundisha masomo ya Lugha katika chuo cha Brown, amefarikia akiwa na umri wa miaka 82.

Read More »

Kuna Ulazima wa Tatoo Mpaka......

-->


Siku za hivi karibuni kumekewa na wimbi la vijana wengi kujipiga tatoo sehemu mbali mbali za miili yao. miongoni mwa sababu zikiwa ni hamasa ya ushabiki au mapenzi yao juu ya kitu fulani au mchezo fulani. Cha kushangaza sasa hali imekuwa too much kiasi kwamba watu wanajipiga tatoo hadi sehemu za siri.

Read More »

2face Aoa Dubai Jana

Mwanamuziki 2face kutoka nchini Nigeria jana Jumamosi ya Tarehe 23/03 ameuaga U single boy baada ya kufunga pingu za maisha na mwanadada Annie Macaulay. Katika kuhakikisha Mpango mzima unakwenda vizuri, Milionea wa Kinageria ambaye anaishi Marekani Ayri Emami, amechangia Shilingi milioni 20 za Nigeria.

Read More »

Miss Israel "MWEUSI" Wa Kwanza

-->
Mwanadada Yityish Aynaw, ni mkimbizi toka nchini Ethiopia. Ameweka Rekodi ya kipee pale alipotoa Taji hilio la Mlimbende wa mwaka wa Nchi hiyo juku akiwa na asili ya kiafrika. Inasemekana kuwa mwanadada huyo alihamia nchini humo zamani akiwa bado binti mdogo.

Read More »

Kutana na Bingwa wa kujipinda

--> Kwa jina anaitwa Alesha Dixon, akiwa katika moja ya shows zake huko Uingereza, akijipinda zaid ya mpira.

Read More »

Mvuto wa Kim baada ya Kujifungua


-->















 Picha hiyo ikimwonesha mwanadada Kim Kardashian na Ddada wakiwa matembezini huku akiwa na mvuto kama vile hajajifungua siku za hivi karibuni.

Read More »

Mpango mzima ndani ya Dar Live

-->
Hatimaye magwiji wa hip hop ndani ya wilaya ya Temeke, Dar na Tanzania kwa ujumla, nazungumzia makundi ya wanamuziki ya TMK Halisi na TMK Family yanatarajia kufanya makamuzi ya kufa mtu ndani ya Ukumbi wa Dar siku ya Tarehe 31/03/2013...... Nisikumalizie uhondo.....

Read More »

Timbulo na Skendo ya Madawa ya Kulevya

< div class="separator" style="border-bottom: medium none; border-left: medium none; border-right: medium none; border-top: medium none; clear: both; text-align: center;">

Habari ambazo bado hazijathibitishwa zinaeleza ya kuwa Msanii Ali Timbulo, maarufu kama Timbulo amekamatwa akiwa na mzigo wa madawa ya kulevya Nchini Burundi, Timbulo ambaye alikwenda nchini humo kupiga show kutokana na maombi ya wapenzi wake wa nchini humo.

Read More »

Steve Nyerere Apata Ajali kisha atupwa Rumande

-->
Nyota wa filamu za Kibongo nchini, Steve Mengele, maarufu kama Steve Nyere amekutwa na mkasa wa aina yake pale alipopata ajali jumatatu ya wiki iliyopita maeneo ya kijitonyama ambapo Steve akiwa ndani ya gari yake aina ya Toyota Verosa aliligonga gari lililokuwa limesimama ghafla mbele yake aina ya Toyota Fun Cargo na kulisababisha litumbikie mtaroni. Baada ya tukio kulitokea majibizano baina ya madereva hao ambapo walipofika askari kutuliza ghasia inasemekana kulitokea kupishana kauli kati ya askari na nyota huyo ndipo alipopigwa "Tanganyika jeki" na kupelekwa kituoni,

Read More »

Sista Aliyefumaniwa Atozwa Faini ya Laki Saba

MAHAKAMA ya Mwanzo mjini hapa, imemtia hatiani aliyekuwa mtawa wa Shirika la Kitawa la Kanisa Katoliki Jimbo la Sumbawanga, Sista Yasinta Sindani, kwa kufumaniwa na mume wa mtu na kuamriwa kumlipa fidia ya Sh 700,000 mlalamikaji.
Katika kesi ya msingi ya madai, mlalamikaji Asteria Mgabo alimtaka Sista Yasinta amlipe Sh milioni 3 baada ya kumfumania na mumewe wa ndoa, Martin Msangawale (39) ambaye pia ni mkazi wa mjini hapa.
-->
Sista huyo ambaye ni daktari katika Hospitali ya Mkoa wa Rukwa mjini hapa, kwa sasa anaishi nje ya nyumba ya utawa eneo la Kantalamba.
Katika hati ya awali ya madai, inadaiwa mshitakiwa alifumaniwa na Asteria akiwa na mumewe Msangawale wakiwa kwenye nyumba ya kulala wageni ijulikanayo kwa jina la Chipa iliyopo eneo la Katandala mjini hapa, Desemba 24 mwaka jana majira ya saa 7 usiku ikiwa ni siku ya mkesha wa Sikukuu ya Krismas.
Akisoma hukumu hiyo juzi, hakimu wa mahakama hiyo, Jaffar Mkinga alisema kuwa ushahidi uliotolewa na mlalamikaji ulikuwa mzito wenye kuondoa shaka zote kuwa mdaiwa alitenda kosa hilo tofauti na utetezi uliotolewa na mdai kuwa ulikuwa dhaifu.
Awali katika utetezi wake mdaiwa aliiambia mahakama hiyo kuwa kwanza alikuwa hajui kuwa Martin alikuwa mume wa mtu na kukiri mbele ya mahakama hiyo kuwa alimweleza kuwa hana mke hivyo alimwomba amuoe.
Lakini Hakimu Mkinga alipinga utetezi huo kwa sababu usiku huo wa mkesha wa Krismas mwaka jana, saa saba na robo usiku, mlalamikaji akiongozana na mwenyekiti wa mtaa wakiwa na mashahidi wengine watatu, walimkuta mdaiwa na Martin wakitoka katika moja ya vyumba katika nyumba ya kulala wageni ya Chipa, akasainishwa.

“Kama hukufahamu kuwa Martin alikuwa hana mke ilikuwaje ukakubali kusaini karatasi hiyo ya fumanizi iliyoandaliwa na mwenyekiti huyo?” alihoji hakimu, akamhukumu kulipa sh 700,000.


source: mpekuz

Read More »

Mama aliyemtesa mtoto ahukumiwa

HATIMAYE haki imetendeka, hayo ni maneno waliyoyasema baadhi ya wakazi wa Mbeya waliohudhuria katika Mahakama ya Wilaya na kushuhudia Wilvina Mkandara (24) akihukumiwa kifungo cha maisha jela kutokana na kesi iliyokuwa inamkabili ya kumtesa hadi kumsababishia ulemavu mtoto, Aneth Johannes (4) aliyekuwa akimlea.


--> Mara baada ya hukumu hiyo kutolewa Jumatatu iliyopita na hakimu mkazi aliyekuwa akisikiliza kesi hiyo, Gilbert Ndeuruo, wananchi walionekana kufurahi na wengi wakitaka japo kumgusa mfungwa huyo mpya lakini ulinzi wa polisi ulikuwa imara.
“Huyu mama angenyongwa tu,” alisikika akisema mama mmoja aliyeonesha kuwa na hasira na mfungwa huyo aliyekuwa amezungukwa na askari polisi.

Akisoma hukumu hiyo iliyozusha cherekochereko kutoka kwa baadhi ya wakazi hao wa Mbeya mahakamani hapo, Hakimu Ndeuruo alisema mshitakiwa amehukumiwa kutokana na kifungu cha 235 cha mwenendo wa makosa ya jinai cha mwaka 1985.

Akaongeza kuwa mahakama hiyo imeona mshtakiwa anastahili adhabu kutokana na mtuhumiwa huyo kama mzazi kushindwa kujali afya ya mtoto wakati alikuwa mama mlezi ikiwa ni pamoja na kumpeleka hospitali kwa wakati ili apatiwe matibabu.

Hakimu Ndeuruo amesema mahakama hiyo haikuridhishwa na ushahidi wa utetezi wa mtuhumiwa alioutoa mahakamani kuwa majeraha yaliyokutwa mwilini mwa mtoto Aneth yalitokana na kuugua tetekuwanga, jambo ambalo alisema si la kweli.

Aidha, mshtakiwa Wilvina alipotakiwa kujitetea ili apunguziwe adhabu kabla ya kusomewa hukumu alisema: “Naiomba mahakama inipunguzie adhabu kwa kuwa mimi ni mjamzito pia sijui mwanangu niliyemzaa alipo kwani sina mawasiliano na familia yangu.”

Akitoa hukumu hiyo Hakimu Ndauruo alisema amesikitishwa na kitendo cha mtuhumiwa huyo kutotaka kujua alipo mtoto aliyemkosea na badala yake kumjali wake. Mwanamke huyo alipandishwa kizimbani kwa mara ya kwanza Novemba 16, mwaka jana.

Read More »

Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger