Umati wa wananchi wakishangaa kituko hicho ambacho inasemekana gari ambalo asili yake inatengenezwa China ilipogonga Baskeli ambaye Inatengenezwa Ujerumabi. Matokeo ni kama yanavyoonekana Hapo.
Read More »
Read More »
PATI ya kusherehekea kuzaliwa kwa Mtangazaji wa Clouds TV, Benny Kinyaiya iliyofanyika hivi karibuni ilitawaliwa na matukio kibao ikiwa ni pamoja na mastaa mbalimbali kupombeka hadi ‘kuzima’. Mpango mzima ulichukua nafasi Januari 8, mwaka huu ndani ya baa ya Benny iliyopo Kinondoni jijini Dar ambapo mastaa kibao walikuwepo.
Amie Neely (38) alikamatwa akiwa anafanya mapenzi na mwanafunzi wake huyo mwenye umri wa miaka 16. Inasemekana kuwa mwalimu huyo alikuwa akimtumia sms mara kibao na kumtege zaidi ya mara nne mpaka kijana huyo akaingia katika mtego wake na kuanza mahusiano yao. Inaelezwa kuwa walikuwa wakikutana mara kibao na kufanya mapenzi nyumbani kwa mwalimu huyo pindi mumewe anapokuwa safarini.
Akisomewa mashtaka hayo, hakimu amesema hakutegemea kwa mtu aliyepitia mafunzo kama yake kufanya kitendo kama hicho na amehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka 4 jela. Hivyo basi Naom ambaye ni mjamzito wa miezi 4 atajifungua mtoto wake wa pili akiwa gerezani.
Mbali na ushahidi wa Picha uliotolewa, mwanadada Jane Woww ameshikilia msimamo wake kwamba alivaa nguo ya ndani wakati wa akirusha kipindi cha MTV NYE "Special with Snooki" kwa kutumia picha hizo anaendeleza msimamao huo, pia amewasilisha na video ambayo anasema ni ngumu kuichakachua "Photo shoped"
Ni jambo la kumshukuru Mungu kwa kuumaliza mkesha wa mwaka mpya salama bila matukio, Hasa kwa mwanadada Lindsay Lohan, kiasi cha baadhi ya watu kumshangaa kwa taswira mpya aliyokuja nayo mwanadada huyo. Baadhi yao walidiriki kusema " Who is that girl and what has she done with Lindsay?"
![]() | ||||
| Janneth na Wissam |
Mwaka 2012 haukuishiwa vioja, kimoja wapo ni hiki cha kuvuja picha za Utupu na Video ya Mwanadada Agness Masogange maarufu kutokana na ku shine katika video ya Masogange ya Belle 9.
Angalia Jinsi Dencia Alivyolalamika Baada ya Kibiwa Pochi la Milioni 8 na zaidi ya Milioni 10 cash
Sakata la Madawa ya Kulevya lilivyompeleka Mzee wa Upako Gerezani
JAMAA WA MIAKA 32 ANSWA NA BIBI WA MIAKA 80, BIBI AWASHUKIA WAJUKUU KWA KUTOMUHESHIMU "BABU YAO" HUYO
Bongo Movie Wasusia Msiba wa baba mzazi wa Wema Sepetu.....Wadai Wema Sepetu huwa hahudhurii misiba ya wenzie
Diamond na Davido ndani ya remix ya " My number one "
Body Guard wa Rihanna ateleza na Kumshika Z!wa Boss wake hadharani.
ACHOMWA KISU NA KUPOOZA BAADA YA KUKATAA KUMNUNULIA JAMAA POMBE
Mwanafunzi Akutwa Amekufa Huku Akiwa "UCHI" chumbani kwake.
VIDEO YA MAPOKEZI YA WANAJESHI WETU WALIOFARIKI HUKO SUDANI
Kutana na Mtoto wa Miujiza Aliyezaliwa Tarehe 11.12.13 Mida ya Saa 14:15